ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mwambie tuu mama tunae na tuna tamba nae hatuna Mpango wa kumtoa zaidi ya mi 5 tena maana amemwaga Ajira na misalario ya kuzidi.Kaka basi kitoe wewe kwani unakwama wapi?.. watanzania wapo 60M ukalalamikie watu wasiozid laki 5 kweli?
Chiba wenu? Futa kauli ndugu kabla hujafa hujaumbika.Sijaona uliposema kuwa chiba wenu ataongeza mshahara mara dufu na kivipi, nimeona tu lile neno la kwenye vijora......nrne
Wengine wanaangamizwa kwa kutekwa wengine wanaangamizwa na pombe..Hii mikopo inawaangamiza watumishi wa umma walio wengi.
Nisibishane na kiande... Narudia .... Kinachoongezeka kwa Sasa kwenye e-loan ni uwezo wako wa kukopa tu ... Yaani kama ulikuwa umeshamaliza 1/3 na haukopesheki kwenye mfumo kama Kuna nyongeza mfano Mimi mwezi uliopita uliongezeka 50.. lakini kabla ya slip kutoka hauoni ila kwenye uwezo wa kukopa uliongezeka 15... Hivyo sikukopa Wala kurenew nikisubiri ongezeko la tamko ..maana kilichokuwa kimeongezeka ni normal increment... Halafu unakaza fuvu .... Punguza ujuajiAcha ujuaji wewe,kukaa kimya napo ni busara, Mimi mpaka sasa hivi nimeshaikopea nyongeza,sasa slip ipi unaongelea, tambua siku hizi mikopo inatolewa online
Rudi shule wewe,kaa kimyaNisibishane na kiande... Narudia .... Kinachoongezeka kwa Sasa kwenye e-loan ni uwezo wako wa kukopa tu ... Yaani kama ulikuwa umeshamaliza 1/3 na haukopesheki kwenye mfumo kama Kuna nyongeza mfano Mimi mwezi uliopita uliongezeka 50.. lakini kabla ya slip kutoka hauoni ila kwenye uwezo wa kukopa uliongezeka 15... Hivyo sikukopa Wala kurenew nikisubiri ongezeko la tamko ..maana kilichokuwa kimeongezeka ni normal increment... Halafu unakaza fuvu .... Punguza ujuaji
✍🏿 📌Mfumo ulifungwa ndani ya hii week kwa ajili ya maboresho ya mwaka mpya wa serikalii. Acha kupotosha mambo.
Ikifika saa sita usiku itakuwa upo vizuri.
Mkongwe kazini. Uzidi kujizuia.Katika kitu nilichojizuia na nashukuru Mungu amenisaidia ni kukopea Mshahara. Tangu nianze kazi nilikuwa naona mshahara mdogo, halafu naona watu wanakopa na kubaki almost bila mshahara. Wanaishi kwa shida na mwisho wa siku wanakatwa pesa nyingiiii (riba).
Nikaamua kuachana na hiyo njia. Todate miaka 20 down the lane sijawahi kukopa na maisha ni murua.
Hakika. Wachache sana wananufaika nayo.Hii mikopo inawaangamiza watumishi wa umma walio wengi.
Ukifa ni hasara kubwa sana maana mkopo Una bimaKatika kitu nilichojizuia na nashukuru Mungu amenisaidia ni kukopea Mshahara. Tangu nianze kazi nilikuwa naona mshahara mdogo, halafu naona watu wanakopa na kubaki almost bila mshahara. Wanaishi kwa shida na mwisho wa siku wanakatwa pesa nyingiiii (riba).
Nikaamua kuachana na hiyo njia. Todate miaka 20 down the lane sijawahi kukopa na maisha ni murua.
Pole sana .... Wazazi wako waliuza ng'ombe wakapeleka ngo'ombe shule....huwezi ona ongezeko la mshahara kwenye mfumo kabla ya payroll haijaja kusainiwa na wakuu wa idara kwa ajili ya kuruhusu malipo ya mshahara na kama salary slip hazijatoka ..huwezi kuona ongezeko zaidi ya kile tu kinachoongezeka katika moja ya tatu unayoruhusiwa kukopa... Wadanganye wageni kazini....Rudi shule wewe,kaa kimya
Sawa kabisa, lakini Rudi shule mkuuPole sana .... Wazazi wako waliuza ng'ombe wakapeleka ngo'ombe shule....huwezi ona ongezeko la mshahara kwenye mfumo kabla ya payroll haijaja kusainiwa na wakuu wa idara kwa ajili ya kuruhusu malipo ya mshahara na kama salary slip hazijatoka ..huwezi kuona ongezeko zaidi ya kile tu kinachoongezeka katika moja ya tatu unayoruhusiwa kukopa... Wadanganye wageni kazini....
Sasa unakopaje akat bado hujajua nyongeza imekaajeNi balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Mfumo unaonyesha nyongeza,Sasa unakopaje akat bado hujajua nyongeza imekaaje
Saa sita usiku wa lini mkuuMfumo ulifungwa ndani ya hii week kwa ajili ya maboresho ya mwaka mpya wa serikalii. Acha kupotosha mambo.
Ikifika saa sita usiku itakuwa upo vizuri.
Sasaivi haifunguki kabisaSaa sita usiku wa lini mkuu
Kaumbuka huyo kwa kuleta uongo humu.Saa sita usiku wa lini mkuu
Halafu kakimbiaKaumbuka huyo kwa kuleta uongo humu.