Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

Bandari ya Bagamoyo haina maslahi kwa Taifa. Ni shinikizo la Uchina. Ni mtindo wa ukoloni mamboleo wa Uchina. Tupanue Bandari zetu 3. DSM, Mtwara na Tanga.
Bandari ya Bagamoyo haina Maslahi kwa Taifa.
Wakoloni hawakua na Akili hata Mwalimu hakua na Akili kuendeleza Bandari ya Bagamoyo Ila wewe ndio mwenye Akili nyingi?!!..Tuendeleze Bandari hii ya Kimkakati kukuza Uchumi!!
 
Huu ni mjadala wa kitaifa. Tujadili kwa hoja. Tuache mipasho. Mradi wa kitaifa likienda mrama, tumaumia kama Taifa. Haimchagui mtu.
Mbona miradi mingi imeenda mrama na hukuongea!!... Bandari ya Bagamoyo mnaleta Siasa?!!..Huona Faida ya Bandari hata baada ya miaka 50 ijayo?!!
 
Mbona miradi mingi imeenda mrama na hukuongea!!... Bandari ya Bagamoyo mnaleta Siasa?!!..Huona Faida ya Bandari hata baada ya miaka 50 ijayo?!!
Wengine hatujawahi kunyamaza pale tulipoona kuna giza giza katika jambo la kitaifa. Hata nyakati zile za ujenzi wa Chatle.
 
Kama unaunga mkono mradi wa Bandari, jieleze, acha vipasho vidogo vidogo vinginevyo, ukalale.
Mmepewa changamoto za Ujenzi ambazo hazipo!!...Mmeambia Uwekezaji 99 years?!!..Hamjui Arthi yetu ni Mali ya Raisi?!!..mmeambiwa Bandari ya Kimkakati!!...Hujui maana ya Kimkakati?!!..Nimekupeleka Emirates ujifunze kidogo lakini wapi?!!..Unajua kila kitu!!!..
 
Hakuna kitu kibaya sana kama imani. Unaweza kutembea uchi barabarani kwasababu ya imani. Kibwetere aliua wafuasi wake kwa kuwachoma moto kwasabbu ya imani.

Jitahidi sana kucontrol imani yako ili akili yako isigande kwenye kuamini kitu kimoja na badala yake ifunguke na kuona uhalisia wa mambo mengine.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 

Lipo kundi au a gang of few people linataka kuingiza nchi hi kwenye matatizo makubwa...Lina maslahi binafsi na bandari ya Bagamoyo...kwa ulafi wa genge hili linawaona Watz wote ni wajinga..hili genge ni hatari kwa usalama wa nchi...limeziba masikio kabisa ...Mimi ningependa nione mwisho wa sakata hili la bandari ya Bagamoyo...kwa bahati mbaya genge hili Lina watu wazito kwa sasa...ni genge ambalo halina aibu Wala haya kwa Watz...itafika muda Kinga za viongozi kutoshughulikiwa zitakuja kuondolewa tu huko mbeleni...
 
bandari ya dar itakufa

mizigo mingi inatoka asia na china ina influence

ni mjinga, hayawani, katili, chif magunge, anayewaza hata kudhania bandari ya bagamoyo
 

Ole Nasha si mhanga wa lile gonjwa letu analolifanyia mzaha Rashid?

Tusisahau wakubwa lile gonjwa Lina ka kunyembuka nyembuka.
 
Wewe kiazi kweli, kwahiyo unataka nikubali tu ujinga wa mtu yeyote sio!
 
Wewe level ya uelewa wako ni duni mno

Unachoongea na kilichoulizwa ni vitu viwili tofauti kabisa, unatoa vijikashifa vya kipumbavu kama ulivyo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…