HakikaHao ni Watanganyika.
Hao ndio wanaoendesha Tanganyika kwa sasa baada ya PM kuwekewa kizingiti cha Naibu ili ashindwe kufanya kazi ya kudhibiti mafisadi na kuzima umaarufu wake .
Lakini utamuondoaje Dr. Mwigulu msomi wa uchumi na Mtanganyika halisi umwache Mwizi Bashe Msomali original aliyepaswa kuwa gerezani kama sio chuki binafsi.
CCM iko Mikononi mwa Makamba na Nape. Sio yule Mzanzibari.
2025 mgombea yeyote wa CCM ni lazima awe anaungwa mkono na Nape na January.
Hawa vijana wawili wakimkataa yeyote(YEYOTE) ndani ya CCM hawezi kupita wala kushinda uchaguzi.
Bwashee na Kimwana na Rostarm wapo kwa ajili ya kununua Urais na kuuweka Ikulu kwa pesa. Hawana nguvu ya kubadili upepo wa Wajumbe zaidi ya kutumia Masanduku ya Pesa badala ya kura
Nchi imeuzwa.
CCM must go!
Huyu Mwigulu ana pesa ndefu sana. Anahusishwa kuwa ni mmiliki wa mabasi ya Esther, mmiliki wa Singida Big Stars. Vile vile ni mfadhili wa Yanga kwa kuwalipia gharama ndogo ndogo kama mishahara ya Feisal au Mbrazil Gomez enzi hizo ambaye anamhamisha kutoka Singida Big Stars kwenda YangaBinafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-
2.Mwigulu Mchemba
Kitendo cha kufungulia bwawa la Mtera maji yaende ambayo ilipelekea mgao hadi leo unalitesa taifa ni kosa kubwa mnoBinafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-
1 . January Makamba
Kwa kumtumia mzee Mbowe anaendekeza ukabila ?Kuwaondoa mawaziri watatu haitasaidia kitu. Suluhisho ni kuwaondoa Ccm madarakani.
Swadakta !!!Kuwaondoa mawaziri watatu haitasaidia kitu. Suluhisho ni kuwaondoa Ccm madarakani.
Noted mkuu.Namba moja na namba Tatu yaan Makamba na nape wa naondoka, keep this na makamba alipanga Mpaka kupindua SERIKALI kupitia SIWA na watu wake, keep this baada ya ziara ya kusini kuna mkeka
Britanicca
Nenda huko mikoani uone anayoyafanya kwenye maisha yao ya kila siku. Kero kwangu ni moja tu kuendelea kuwa na mshamba Mwigulu kwenye nafasi ya waziri wa fedha.Watanzania tunaojielewa tunataka aondoke kizimkazi.Maana yeye ndiyo chanzo Cha mambo ya hovyo yanayofanyika nchini.Hovyo sana huyu mama.Aondoke mara Moja kabla hatujaanza kuandamana kama generation z kule kenya
AiserYeye mwenyewe Samia anatakiwa kutoka madarakani kwani dalili zote zinaonesha uongozi wa nchi umemshinda.
Naunga Mkono hoja ........................Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-
1 . January Makamba
2. Mwigulu Mchemba
3. Nape Nnauye
Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo .
Soma pia: Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
Ninaunga Mkono hoja hawa mawaziri ni Majipu yanayofaa kutumbuliwa na Mheshimiwa Rais Mama Samia.4. Ummy Mwalimu
5. Aweso
6. Masauni
7. Suleman Jafo
8. Ashatu Kijaji
9. Huseni Bashe
Adhabu kali mno hiyoKitendo cha kufungulia bwawa la Mtera maji yaende ambayo ilipelekea mgao hadi leo unalitesa taifa ni kosa kubwa mno
Kitendo cha kusaini kukodisha App kutoka India kwa bilioni 70 kwa ajili ya Tanesco ni kosa kubwa na wizi mbaya sana
Matrilioni ya ukarabati yaliyoliwa
Matrilioni ya REA yaliyoliwa
Matrilioni ya Kufumua grid yaliyoliwa
Mabilioni ya vifaa kama luku, mitambo, nk yaliyotafunwa
Bado madudu ya siri ya kushirikiana na taifa gesi,makampuni ya kuagiza mafuta, na majenereta kwakweli ni balaa
Januari Makamba alipaswa kunyongwa na siyo kuhamishwa Wizara. Ila iko siku yake atakuja kujibu alikopeleka Matrilioni ya fedha aliyopewa na Samia kwa ajili ya ukarabati mara alipoingia wizara ya nishati mwaka 2021
Mbona kama huwapendi watu wa FaizaFoxy ?4. Ummy Mwalimu
5. Aweso
6. Masauni
7. Suleman Jafo
8. Ashatu Kijaji
9. Huseni Bashe
Mbona kama huwapendi watu wa FaizaFoxy ?4. Ummy Mwalimu
5. Aweso
6. Masauni
7. Suleman Jafo
8. Ashatu Kijaji
9. Huseni Bashe
Umenena mkuu. Mfumo mbovu unazaa atunda mabovu.Sikio la kufa halisikiagi dawa.
Ushauri maridhawa kama huu hawezi kuufanyia kazi hata siku moja, kwa mantiki kwamba, atapoteza maslahi yake binafsi mengi.
Ni muda sana waTz washapaza sauti zao juu ya kuwaondoa kwa vyovyote hao viongozi vimeo lakini kaziba masikio, siyo kwamba hasikii, anasikia sana.
Hadi hapo wananchi watakapoweza, kuongea lugha moja na kutumia demokrasia yao iliyomo hata kwenye katiba hii mbovu ya viraka iliyopo bado inayotabua mamlaka ya wananchi!
Generation zinabadilika viongozi bado wamekariri akili za raia wa kizazi kilichopita, lakini ipo siku hawataamini kama ambavyo Ruto wa Kenya hakuamini, leo kalazimika kuamini kwa lazima na kuchukua hatua madhubuti ambazo hakutarajia kuzichukua kwa hiari yake, kalazimika kazichukua kwa mashinikizo toka kwa wananchi wenye mamlaka kikatiba.
Nasi ndiko tunakoelekea,
one day yes!
Uko sahihiKila mtu na fikra zake, wewe na zako, yeye na zake nami nna zangu. Siwashangai.
Majembe hayo.