Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Kwa kumtumia mzee Mbowe anaendekeza ukabila ?
kuwaondoa CCM madarakani kutawafanya watawala wawaheshimu wananchi. Kila aliyechaguliwa atajua wananchi wanaweza kumuondoa asipotatua changamoto zao.

Mfumo na utamaduni ulioko sasa hivi ni wa wananchi kuwaogopa na kuwanyenyekea viongozi. Matokeo yake viongozi wanakuwa wazembe, wala rushwa, na walaghai.
 
Sawa sawa kabisa, hawa jamaa ni vilaza na ndiyo maana Magufuli aliwatema mapemaaaa, hawafai hata kuwa wakuu wa Wilaya
 
Akutolee wewe ukiwa kama nani? Yeye bado ana Imani nao na anaona wanamsaidia katika uongozi wake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…