Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?
View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19
My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.
View attachment 2747518