cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Ah ah
Mzee nawe unauza kava nini...yote maisha kweliDah mkuu unatu motivation speaker au ya kweli haya.
Yaani utaamjniwa vipi bila cheti sasa??
Hebu tufafanulie kabla hatujaenda darasani.
Me nilisoma ICT(informational communication technology)