PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maelezo yasio na akili, waliipo madarakani wanaounda dola ni ccm, wewe kwenye kampeni ukosoe act au chadema utakua mjinga uliyepitiliza
 
Aisee lisu kakata mirija ya ulaji😂
SS
Na wale ambao ilikuwa wqo ndo lzm wawe wabunge wa viti maalumu kwishaa
Safi sn
 
nitakutafuta october, usibadilishe ID...... wakienda swa hilo sina tatizo nalo, lt them go watafuta maisha kama Lisu anavyotafuta maisha kuwa mwenyekiti/rais
G55 leo wamesema lengo lao sio kutafuta maisha, lengo ni kuwapigania watanzania na wamesisitiza hilo au hamjaelewana huko kwenye group?
 
Nyie msiowafahamu hawa jamaa endeleeni kuhangaika nao,Amebaki baba yao dalali wa kisiasa,wanufaika wa miradi hewa ya kisiasa ikiwepo Covid19.Hawana jipya na wa kuupuuzwa tu.
 
Hakuna tusi hapo wala hutu, huwezi kjupanda jukwaani kutaka umshinde ubunge msukuma au mchengerwa kwa kutuitukana act au chadema
Umesema "maelezo yangu hayana akili" na bado haujaona kuwa umenitukana? Na kuwa watakao kosoa act au chadema watakuwa wajinga wa kupiliza! Yote hayo unaona ni sawa tu. Lakini sishangai maana ndio lugha mliyozoea. Kwa sababu hiyo, sioni sababu ya kuendelea kujibizana na wewe pamoja na kuwa umejiunga jumapili tu.


Amandla...
 
Ruzuku imekata kwao, nao wameona haina haja ya kuendelea pasipo na asali
 
Hilo ndio tusi?
 
Wate waliojiondoa hawana sababu ya maana zaidi ya mkuno wa njaa ya tumbo.
Kama huyu Mwalimu mke wake ni m1 wa wale covid 19.

Waache kulialia. Ni aibu.
 
John Mrema leo anatangazaje kujitoa CHADEMA wakati wiki chache zilizopita alifukuzwa Chadema?
Alipaswa leo atuambie amekubaliana na uamuzi wa kufukuzwa au atuambie anahamia chama kipi.

Kusema leo amehama Chadema sio habari.
 
Kafukizwa mmoja wanaondoka 55 ivi wenzangu mnalichukuliaje Hilo. ???

Hawatufai hao na wote walioshindwa kujitathmini wenye kukitumia chama kama sehemu ya kujipatia mkate wao huku wakijinasibu kujitolea:



Wa aina hIyo wakwendree kwao CCM.

Watu hao wameuza wengi na kutuchelewesha mno!
 
John Mrema leo anatangazaje kujitoa CHADEMA wakati wiki chache zilizopita alifukuzwa Chadema?
Alipaswa leo atuambie amekubaliana na uamuzi wa kufukuzwa au atuambie anahamia chama kipi.

Kusema leo amehama Chadema sio habari.
Pia alitoa tangazo la press jana kwa kutumia nembo za cdm.
Hii process ambayo nchi inapitia sasa, sio cdm wala chama tawala ni lazima itazaa taifa jipya ambalo wananchi wa kawaida watapata undani na kujua janjajanja ya wanasiasa/viongozi.
Pia kidemokrasia inatufundisha jinsi ukweli na uwazi unayoweza kusaidia kupata viongozi wanaoweza kuisadia nchi badala ya madalali na machawa ambao wako tayari hata kuuza nchi yao wenyewe kwa tamaa binafsi zilizopitiliza
 
Huyu Erythrocyte mbona amekuwa kigeugeu hivi?😎

Kujitathmini kupo. Labda kajitathmini mwenyewe kimya kimya. Hatuna taabu hata na huyo Retiree ila wajitathmini kwanza. Uongozi No! Hadi tujiridhishe.

Wametusubirisha mno jangwani wakati Canan ni pale!



Hatudanganyiki.

Hata hivyo kila mwenye ngozi ya kondoo fake wakwendree. Chukuweni watu wenu!

imhotep, Drlfter, binti kiziwi na wale wengine au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…