Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Wanahisi kukandamizwa na kufanyiwa ukatili, na hayo yanajihidhihirisha haswa kwenye matukio ya kisiasa n.k, pia kuminywa katika uhuru wa maoni n.k, hivyo mindset yao imebaki kujua kwamba bara inataka kuwamaliza/kuwaangamiza ama kuwapoteza kabisa kwa nguvu na kujimilikisha.

Kwa vitendo hivyo inawapa uwezo wale wa Z'bar wenye nia ya kujitenga kwa kusambaza propaganda na kutolea mifano iliyotokea hivyo vijana wengi kuamini ndio hao wanapost hapo wakiwa wana hasira na kutoa matusi hovyo,
 
Sasa jiulize Tanganyika inapata nini kwenye huu muungano?
Wazanzibar wanasema Zanzibar inapoteza kikubwa mnoo kuliko kile kidogo inachokipata kupitia huu muungano. Zanzibar inapoteza tano huku akipata moja, sasa faida iko wapi?
 
😂 nimeishia kucheka tu

Akili za mtu mweusi ni hisia sana kuliko uhalisia, na zaid ni rahisi sana kuwatawala...

Daraja litajengwa na hakuna kitu watafanya.
 

Kwani hivyo vyakula munawapelekea bure?
 
Ila Wazanzibar elimu ndogo sana. Ata kuandika tu shida.
 

Kwani huo umeme munawapa bure? Na kama kuna madeni hayo madeni munawadai Wale vibaraka wenu muliowaweka ambao kila baada ya miaka mitano munakwenda kuwapigania wabaki madarakani na ndio mana munakosa hata nguvu za kuwadai.
 
Iitishwe kura ya kuukubali au kuukataa muungano
Kama Scotland vile
Ila usishangae wakawa kama Scots waliopiga kura na wengi wakakataa kujitenga na [emoji636]

Ila labda hatuwezi kujua ila wangeweka hata kwa maoni tu tuone % ngapi wanataka kujitenga
 
Aisee...
Kama ule muungano wa kibabe wa USSR (yenye nukes, nk) ulisambaratika kama barafu juani itakuwa huu wa hila?!!! Siku yake itawadia tu
I hope so [emoji120]
Sioni shida hapo kwani watapunguza mzigo na wao watakuwa na mamlaka kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…