Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Bara inaidadi ya watu zaidi ya milion 6 0 hata zilo zikiwa milion moja bado haiwezi kuizidi Zanzibar weka takwimu zako na Mimi niweke zanguTwende kwa takwimu. Chagua mwaka wowote uupendao halafu tutajie idadi ya ZERO zilizozalishwa Bara ulinganishe na zilizozalishwa Zanzibar.