Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Twende kwa takwimu. Chagua mwaka wowote uupendao halafu tutajie idadi ya ZERO zilizozalishwa Bara ulinganishe na zilizozalishwa Zanzibar.
Bara inaidadi ya watu zaidi ya milion 6 0 hata zilo zikiwa milion moja bado haiwezi kuizidi Zanzibar weka takwimu zako na Mimi niweke zangu
 
Hao vichwa pasi shida yao wanabagua sana ubaguzi ni asili yao
Pia wana mentality ya kupenda kupewa vitu bure bure hawataki kutumikia
Wanahisi wakitengwa wenyewe watakua last born wa waarabu
Ili kufaidika na muungano hakikisha unakula mbususu za kiunguja
Bora hata ungesema za Pemba, za Unguja ni purely derivatives za Bongo.
 
Nyinyi watanganyika ndio adui namba moja WA Wazanzibar Zanzibar imefika hapa Kwa roho mbaya yenu na mjuww mfahamu hakuna Mzanzibar halisi yoyote anaeunga mkono UKOLONI wenu mlioupachika jina la MUUNGANO roho mbaya zimewashika hamtaki kutuona tunamaendeleo ya MAANA
Nyinyi mna kila Aina za rasilimali huko kwenu lkn kila uchao na ndoto ya kila MTANGANYIKA kuhamia Zanzibar mumejazana Kwa maelfu eti kuja kuuza njugu maji na korosho hivi Sisi twajiuliza wapi kuna mzunguko mzuri WA fedha baina ya kule kuliko na mijitu MILION 60 na kule kunako watu MILIONI 2?
Mnavhafua mazingira mwachafua lugha yetu mwachafua MAADILI yetu kila kitu mnatuvurugia

Pole sana,watanganyika ni watu wakusaka pesa popote wanazitafuta ndani ya nchi hii,acha akili za kijima zenji imechafuka kitambo baada ya waarabu kuingia hicho kisiwa.
 
Hao wanataka wawe chini ya ngozi nyeupe,,, na kikubwa kinachowazuzua ni vimisaada vya wa omani na waarabu wengine,,,, siku Itokee muungano uvunjike Zenj itarudi tena kua chini ya waarabu na hao wanaopiga kelele wataanza tena kulialia
Hawawezi kujitawala hao mkuu, hafu ni wabaguzi kidini mbona waislamu wa huku Tanganyika peace tu
 
Watanganyika waache ujinga kama wazanzibar hawataki muungano nyie mnaumia nini? Wamesema wao ndugu zao ni warabu sio nyie kwanini mnazidi kujipendekeza?
 
Kwa aina hii ya uandishi na ujengaji hoja, bila shaka hawa watu wame base sana kwenye ilmu ya mnyaazi........wakishika mkia wanaomba VAR NECTA iondoe ranking ya shule kwenye matokeo, na wakahakikisha wamemweka kobaz mwenzao hapo NECTA ili kuwafichia siri.​
 
Duh,kuhusu mashoga nadhani wewe kausha tuu.
Ukianza kulinganisha hiyo mambo aisee utaumbuka. Maana hata ukiulizwa nini kilitokea wakaungana ,hujui so kuwa mpole tuu.
Maana hiyo stone town khatari vijana na mabaharia wa zamani plus wazungu.
Kiufupi hii achana nayo utafukua mengi.
Muungano hauvunjiki na hautokaa uvunjike nitakufa nitauacha.
Mashoga tanganyila ndo kwa muna mpaka maofisi na makakampuni kwa mujib wa Mwakiyembe
 
Watanganyika waache ujinga kama wazanzibar hawataki muungano nyie mnaumia nini? Wamesema wao ndugu zao ni warabu sio nyie kwanini mnazidi kujipendekeza?
Ni rahisi tu wao wawafuate ndugu zao waarabu, watuachie hivyo visiwa.
 
Back
Top Bottom