Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Hapo mwenye elimu wa kwanza ni Robert Mugabe
 
What is elimu kubwa kama huna michango chanya kwa jamii inayokuzunguka!!!!!!
 
Haiwezi kua kweli mbona anaichezea sana elimu?

Na mbona hajui kuinteract na watu? Au kuchanganua mambo ya nchi zingine?

Mbona hajui rais wa kuwait, Libya na Afghanistan ni nani?

Ooh ok kuna kua msomi halafu kuelimika na ulichosoma.
 
BASI MWAMBIE KWANZA ATAMKE NENO Entrepreneurship
 

Attachments

  • upload_2018-5-5_14-50-56.jpeg
    6.1 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…