Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

Vingi alijiuzia mwenyewe na kugawana na ndugu na marafiki kule Kiwira makaa ya mawe ndio walikomba live wakanunua jumla bei ya kutupa ,yeye na Mramba,na mwanae bila aibu
Mkuu inashangaza kuona kuna watanzania wanaotetea uamuzi ule wa kipuuzi namna ile. Sitachoka kuwashangaa humu jukwaani. Inaonyesha wazi walikuwa wanufaika wa huo utaratibu. Sijui kama kuna wanaokumbuka jinsi watu walivyolewa madaraka kipindikile hadi kutamka maneno ya kudhalilisha wananchi, kama "hata kama itabidi wananchi wale majani, ni lazima ndege ya Raisi inunuliwe" Sasa tuelewe je kuwa ndiyo mkakati wenyewe huo? Kumbuka pia kwamba kwenye ile hati ya kumilikishwa Kiwira, mtu alikosea akaweka anwani ya anayemilikishwa kuwa makazi yake ni Ikulu ya Tanzania. Sikuji kama kuna wanaokumbuka jambo hilo.
 
Viongozi wetu waliviua vyote aisee.
Mkuu Stroke huwa kuna ukweli hatuusemi. Baada ya vita ya Kagera, uwezo wa Serikali kuendesha viwanja haukuwepo pamoja na matatizo ya management ya hivi viwanda. Mwinyi alijabidhiwa viwanda vilivokufa au vinavyokufa. Viwanda vyote ulivyotaja vilikuwa katika hali ya kuhitaji stimulus ili vitoke katika kama. Kwa bahati mbaya sana, matakwa kwa mambo mengine ya kimaisha na yenye umuhimu zaidi ya kufufua viwanda pia yalikuwapo na kupewa kipaumbele. Vuwanda vikikufa au kuzimia wajati wa Mwalimu na mojawapo ya sababu kubwa ikiwa ni gharama ya vita ya Uganda.
 
Mkuu hilo unaloongelea tunalikumbuka sana na tunakiri kuwa wakati huo mambo yalikuwa magumu. Lakini unataka kuniambia hawakuweza kufikiria na kuamua jambo jema zaidi lenye manufaa kwa Taifa letu? Kwanini serikali isiingie ubia kimakakati na waliovichukua ili na serikali iwajibike kusimamia ku -revive vile viwanda badala ya kuvitupa shimoni kama takataka? Na kwanini iwe vyote? Au vingi namna ile?? Halafu unachoishia ni kununua ndege ya Raisi? Hiyo ndiyo faida pekee iliyopatiakana!
 
..viko viwanda / mashirika ambavyo havikuuzwa 100%.

..pia vingine viliuzwa wananchi waliruhusiwa kununua hisa, baada ya soko la hisa kuanzishwa.

..kwa mfano, Tbl ninavyoelewa kuna hisa za serikali.

..Crdb na Nbc vilevile kuna hisa za serikali.

..Sio kweli kwamba ubinafsishaji wote ulikuwa mzuri.

..Na sio kweli vilevile kwamba ubinafsishaji wote ulikuwa mbaya.

..Ukweli usiopingika ni kwamba Ubinafsishaji was necessary.
 
  • Thanks
Reactions: NOD
Mkapa alikuwa sahihi kufanya ubinafsishaji ila tatizo ni jinsi huo mchakato ulivyofanyika.
Hoja ya mabadiliko ya technolojia ya mitambo ndiyo ilifanya tuuze Ardhi, majengo tuliyowekeza kwa bei ya kutupa.
Nadhani,jawabu lingekuwa kubadilisha manejiment na mitambo kuendana na technolojia.
Kuna wanazuoni,wanasema kilichoua viwanda na kujuana, Waziri au Katibu Mkuu wa wizara walikuwa wanawaweka watoto wa dada zao na wajomba zao mara baada ya kuhitimu vyuo., hawana ujuzi na uzoefu wa utawala na manejiment.Hata wakiharibu kazi hawapewi onyo au kuachishwa.Mambo ya kulindana yalishamiri.
Technical know who badala ya technical know how ndiyo ilitumika kupewa madaraka viwandani.
Watoto wa wakubwa wakiiba,wanaachwa ,utendaji kazi na tija ikapotea ,haki ikapotea Sehemu za kazi.
 
..viko viwanda / mashirika ambavyo havikuuzwa 100%.

..pia vingine viliuzwa wananchi waliruhusiwa kununua hisa, baada ya soko la hisa kuanzishwa.

..kwa mfano, Tbl ninavyoelewa kuna hisa za serikali.

..Crdb na Nbc vilevile kuna hisa za serikali.

..Sio kweli kwamba ubinafsishaji wote ulikuwa mzuri.

..Na sio kweli vilevile kwamba ubinafsishaji wote ulikuwa mbaya.

..Ukweli usiopingika ni kwamba Ubinafsishaji was necessary.
Ubinafsishaji was necessary but was not handled properly, was not planned and ended up been chaotic causing unrepairable loss to the Nation. Hence the reason that many citizens are calling for action against those who took part and decided to handle the process in such a ridiculous manner. Government Officials who were involved should take responsibility for the losses.
 
Vile viwanda vilikuwa vya kisiasa zaidi. Nakumbuka baada ya vita na Uganda ambapo serikali ilifilisika na hivyo viwanda pia vikaanza kufilisika kwa sababu vilikuwa vikiendeshwa kwa ruzuku ya serikali ambayo sasa haikuwepo tena.

Pia ajira ilikuwa ni ya kujuana zaidi na hakukuwa na watanzania waliokuwa wamebobea katika mambo ya Industrial Management.

Nchi pia haikuwa na fedha za kigeni za kununulia vipuri na viwanda vyenyewe vilikuwa na mitambo ya kizamani na mara kwa mara Tanzania tulipigwa bao na bidhaa zilizokuwa zikitengenezwa na nchi jirani ya Kenya zilizokuwa zikiingizwa kimagendo nchini.
 
Ubinafsishaji was necessary but was not handled properly, was not planned and ended up been chaotic causing unrepairable loss to the Nation. Hence the reason that many citizens are calling for action against those who took part and decided to handle the process in such a ridiculous manner. Government Officials who were involved should take responsibility for the losses.
Nafikiri kuna issue pia ya capacity ya watu wetu kwa wakati ule kuhandle privatisation. Hatukuwana ujuzi na utayari wa kufanya hilo. Some few criminals may have used that knowledge vacuum to enrich themselves ingawa hiyo pia ni changamoto inayotokana na capacity ndogo. Bottom line sio Mwinyi wala Mkapa as changes were inevitable. Nchi ilikuwa mfilisi
 
Hapo panatakiwa kupaangalia kwa busara sana. Kwanza Kiongozi wa nchi kabla hajafanya maamuzi mazito kama hayo alitakiwa kupata ushauri wa kina. Tena kutoka kwake aliyevijenga hivyo viwanda, maana alikuwepo. Pili unaandaa plan maalum ya kuhakikisha maamuzi yanaleta tija kwa Taifa. Na unafuatilia mwenyewe kuhakikisha unaripoti kwa umma kuhusu maendeleo ya maamuzi uliyofanya.
Kumbuka Mwalimu Nyerere aliwahi kuhutubia akasema Ikulu siyo mahali pa kukimbilia, amekaa pale muda mrefu na kwahiyo akatoa usia kwamba sio mahali pa kufanyia biashara.
Zaidi ya yoote rejea hotuba yake ya kukishauri kikao cha chama wakati wa uteuzi wa Mkapa kuwa mgombea. Nchi kuwa mufilisi siyo sababu wala kisingizio cha kuendelea kuimaliza. Kama kweli ilikuwa mufilisi na alijua ni mufilisi kwanini alikubali kununuliwa kwa Ndege ya Raisi??? Kitu ambacho hakikuwahi kuwepo. Unaamua kuua shirika la Ndege la Taifa halafu unanunua ndege yako Raisi wa Taifa hilo hilo?
 
Easier said
 
Easier said
Tunapenda virahisi ndiyo maana tunarudi nyuma. Nyerere alionya kuwa Ikulu siyo lelemama.
Akasema anayeingia pale awe amejiandaa, siyo mahali pa kukimbilia pale wala kufanyia biashara. Therefore if one is looking for QEDs is not supposed to dare enter the statehouse.
 
Hapo panatakiwa kupaangalia kwa busara sana. Kwanza Kiongozi wa nchi kabla hajafanya maamuzi mazito kama hayo alitakiwa kupata ushauri wa kina. Tena kutoka kwake aliyevijenga hivyo viwanda, maana alikuwepo. Pili unaandaa plan maalum ya kuhakikisha maamuzi yanaleta tija kwa Taifa. Na unafuatilia mwenyewe kuhakikisha unaripoti kwa umma kuhusu maendeleo ya maamuzi uliyofanya.
Kumbuka Mwalimu Nyerere aliwahi kuhutubia akasema Ikulu siyo mahali pa kukimbilia, amekaa pale muda mrefu na kwahiyo akatoa usia kwamba sio mahali pa kufanyia biashara.
Zaidi ya yoote rejea hotuba yake ya kukishauri kikao cha chama wakati wa uteuzi wa Mkapa kuwa mgombea. Nchi kuwa mufilisi siyo sababu wala kisingizio cha kuendelea kuimaliza. Kama kweli ilikuwa mufilisi na alijua ni mufilisi kwanini alikubali kununuliwa kwa Ndege ya Raisi??? Kitu ambacho hakikuwahi kuwepo. Unaamua kuua shirika la Ndege la Taifa halafu unanunua ndege yako Raisi wa Taifa hilo hilo?

..kwa taarifa yako, Mkapa alikuta Tume ya Ubinafsishaji imeshaanzishwa na serikali ya awamu ya 2, na mtendaji mkuu wake ameshateuliwa.

..Ubinafsishaji ulianza wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi na uliendelea mpaka wakati wa utawala wa Raisi Kikwete.

..sio sawasawa kusema kwamba hakukuwa na majadiliano / consultations za kutosha kabla na wakati wa ubinafsishaji.

..ukumbuke kwamba zoezi la ubinafsishaji lilifanyika baada ya BUNGE kupitisha sheria iliyoruhusu zoezi hilo.

..pia zoezi lilikuwa linasimamiwa na tume iliyoanzishwa kwa msaada wa Benki ya Dunia.

..vilevile mashirika na viwanda vilivyohusika na zoezi hilo yalikuwa chini ya wizara na mamlaka tofauti ndani ya serikali. Kwa mfano, Tbl ilikuwa chini ya wizara ya viwanda; Ttcl wizara ya mawasiliano; Nafco wizara ya kilimo, etc etc.

..Kwa hiyo utaona kwamba zoezi hilo halikufanyika kwa kukurupa au bila mashauriano.

..Kama kuna watu walikosea au walihujumu tunatakiwa turudi kwenye SHERIA ya ubinafsishaji kuangalia namna gani walikengeuka.
 
Alikuwa katika serikali tena alikuwa kwenye baraza la mawaziri wakati hayo yoote yakiundwa na akiwa Raisi ndipo huo ubinafsishaji ulitekelezwa na kukamilika, which tells you that aliingia Ikulu akiwa amejiandaa kutekeleza huo uamuzi. Ndiyo maana alipomaliza na yeye akajimilikisha Kiwira na kujinunulia ndege yake. Nikuulize swali hivi makazi yake Lushoto unafahamu yalivyopatikana? Niliwahi kusikia nayo ikizungumziwa.
 
..haya yote unayoeleza hayaondoi ukweli kwamba viwanda vilikufa au kudorara wakati wa utawala wa Juliasi.

..pia hayaondoi ukweli kwamba serikali ilikuwa haina fedha za kufufua viwanda, na viwanda visivyozalisha vilikuwa mzigo kwa walipakodi.

..ukweli kwamba zoezi la ubinafsishaji lilikuwa halikwepeki unabaki palepale. You can argue kwamba waliopewa jukumu hilo kuna maeneo walikosea, kama ulivyotaja suala la Kiwira.

NB:

..sifahamu kuhusu makazi ya Lushoto. Hebu tufahamishe kilichojiri.
 
Kwanza rejea maoni yangu hapo juu kwamba Baba yako akijenga nyumba kwenye kiwanja cha familia ulipokulia unapofikia kuwa mtu mzima ikawa na muonekano wa design ya kizamani hutakiwi kuibomoa bila ridhaa yake na hata ukimuomba akuhurusu atakuambia jenga ya kwako kwanza kabla hajafikiria kukuruhusu uibomoe. Hilo nataka uelewe kwanza. Halafu kumbuka Nyerere alipochukua uongozi wa nchi hapakuwa na hata kimoja, kulikuwa kweupee! Akaanza na mashule, vyuo, mashirika, viwanda nk. Sasa nikuulize ni nani aliyekutana na changamoto zaidi, aliyevikuta vipo ila havikuwa vinazalisha kama ilivyotegemewa au ni aliyekuta mapori akafyeka akavijenga?
 
..mfano ulioutoa hauendani na hali halisi ya viwanda na mashirika ya umma ktk awamu ya mwalimu nyerere.

..viwanda vyetu vilikufa au kudorora na serikali ilikuwa haina fedha za kuvifufua.

..Uwezekano wa kukopa ili kuvifufua viwanda hivyo ulikuwa haupo kwasababu tulikuwa na mgogoro mkubwa na vyombo vya fedha vya kimataifa, pamoja na nchi wafadhili.
 
Hiyo haikuwa sababu toshelezi kuamua kuvitupa shimoni. Ni bora wangetafuta ushauri wa aliyevijenga kwanza pamoja na kupata ushauri wa waliofadhili ujenzi wake kuliko walichokifanya.
 
Back
Top Bottom