Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Jinga sana hili jamaaa😂,
Kun siku et linaniambie nimsaidie elfu 5 atume pesa ya vikoba anadaiwa hvhv nkamwambia lete namba 😁😁akanipa jina la kiume nikashtuka😁😁 nkamwambia ntakutmia badae, hali ilivo ngumu afu nitapeliwa na dume jenzangu hapana kwakweli bora anitapel mtot wa kike haitoniuma sana
 
[emoji23][emoji23][emoji3526][emoji3526][emoji3526]! kiranga komaa mimiii [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kwanza nakaribia kusutwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]!!
Kusutwaa na naniii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kushakuchaaa kitrambooo 😂😂!

Ni pm na hekaheka zakeeeee khakhakhaaaa.... Nacheka kama mazuri vilee!!
Hivi unajua 😂😂😂🤓🤓🤓😂😂😂
Mwanaume anapojifanya yee wakike.. ana anakua anajua udhaifu wake so anakomba serious 😂😂😂😂🤓🤓🤓🤓🤓 jamani weeeh daah
 
Leo leo leo badamu batamwagika[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamatraaaaa huyooooo🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂!!
Ukisikia yallaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Pole mwana 😅😅
 
Si mnajifanya mnashupaza shingoo ndrioo kushobokea vitobo ndio mkomeeeeee!!😂!🤣🤣🤣!!

Ankoli akee YE67NBE njoo utanue mapafu hukuuii🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu miee, woiiiiiiiih
 
Nawee uliwahi kupigwaa huko PM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁 sitapeliwigi kizembezembe kiasi hicho aisee mm nltaka nambaake ili nione usajili wake jina litatoka la kike au kiume nilivoona la kiume tu nkashtuka huu mchezo mchafu kama wa sisiemu mwaka 2015 nkaanza kumpga kiswahili nashangaa anansumbua kila siku sijui aliniona mm na minyege ya ovyo au nna hela
 
Si mnajifanya mnashupaza shingoo ndrioo kushobokea vitobo ndio mkomeeeeee!!😂!🤣🤣🤣!!

Ankoli akee YE67NBE njoo utanue mapafu hukuuii🤣
😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣, nimeiona sasa hivi auntiee mzuri embu ngoja nisome comments,


Niliwahi kupost thread ya hivi watu wakanijia juu, acha nione mwisho wake 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chiziii. Woiiiiiih
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…