Mama yako anayo. Mwambie akutumieMkuu mama,
Unaweza kushare nasi hiyo vdeo?
Na I'd mpya Ms Cee aka kyuti waifuu ππππ€£π€£π€£π€£π€£
Thank you
Sasa Mkuu Ke waliopo Mtaani wataolewa na nani ikiwa hamtaki ndoa?Mimi ni kataa ndoa ila huyu umiza mwanamke kazingua.
Koh koh kohJicho litadondoka hilo member mpya
Happy New Year braza Ushimen.Minaona wanafanya tunakataliwa na madem humu ndaniππ
Baba mchungaji nyie ndio wakuwapa nasaha sasa. πMinaona wanafanya tunakataliwa na madem humu ndaniππ
πππMwanaume mwenye akili hadharau mwanamke...
Kwa sbb huyo mwanamke ni mama yake..or dada yake or binti yake or mke wake or shangazi yake au ni mzazi mwenzie aliemzalisha akamtelekeza...
Kuna wanaume humu wana level za juu za kujielewa..wapo wengi mno...
Ila pia kuna tabia za wanawake zinapelekea kudharauliwa...lakini ktk hao wanao ongoza kuwadharau hao wanawake wenye kaliba fulani hao ndo wateja wao wakubwa...
Ata nikioa sita wasioolewa watakuwepo tu , sio lazima kila mtu aolewe ama kuoa .Sasa Mkuu Ke waliopo Mtaani wataolewa na nani ikiwa hamtaki ndoa?
Ebu njoo chemba kwanza mwali...πHappy New Year braza Ushimen.
Hii vita ya Ke na Me inazidi kutamalaki humu ndani mama mchungaji..π€Baba mchungaji nyie ndio wakuwapa nasaha sasa. π
Duh single mother kacharuka[emoji23][emoji23]Wanaume ni wachache sana humu ndani, na hao wanaoandika hizo mada kama apakuliwi nyuma ya mwiko basi ni lichokoraa.
Mwanaume mwenye heshima, upendo na akili hawezi kukaa muda wote umiza mwanamke, single maza wanajiuza, mara wanawake ni kuliwa na kuachwa tu.
Mengine ndo haya haya yamesomeshwa na hawa masingle maza hadi limejua kuandika Team kataa ndoa, alafu ukiliona sasa sura kama mbegu ya ubuyu.
ACHENI UPUUZI, UNAFKI, UVULANA NA UMBUZI
"Kuna lingine lipo humu linalelewa na mwanamke ana mtoto mmja wa kiume, linawekewa mafuta kweny pikipiki yake, linalishwa hadi maji linayotumia kuchambia chooni bill linalipiwa alafu huku linajifanya lenyewe ndo lenyewe kumbe kinyamkela"
Jifunzeni kuheshimu wanawake sura zenu.
Shikamoo ushimenπππEbu njoo chemba kwanza mwali...π
Tulishazowea haya mambo huwa yanaenda halafu yanatulia Baba Mchungaji kwa kuwa mwaka ndo umeanza hivi ni vitu vya kawaida sana.Hii vita ya Ke na Me inazidi kutamalaki humu ndani mama mchungaji..π€
Niwe nisiwe we hayakuhusu.Duh single mother kacharuka[emoji23][emoji23]
Hahahahaha, umesema kweli ndugu yanguMinaona wanafanya tunakataliwa na madem humu ndaniππ