Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)
 
kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)
Eeeeeh naa lenyewe halioni hata aibu aiseh.
Alafu ndo haya humu na visebengo kweli wakati vocha yamekula ganji ndo kupata 😁😁😁😁
 
Sisy umechefukwaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…