Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

Jf ina wanaume ambao wanaweza kusimama na ukakubali kweli huyu ni mwanaume hasaa, huwez kuwakuta wanazurura kwenye nyuz za kukashfu wanawake.

Lakin Hao wenye kuneng'eneka kila siku na nyuzi za khs wanawake ni ma broke, wamepigwa na maisha, wamejichokea na kujikatia tamaa hawaijui kesho yao , wanahasira wamekataliwa na wanawake zao kwa sababu ya umasikini na magubu yao

Wasikuumize kichwa
 
Mkuu mwana mke huwa anachuliwa kutokana na jinsi alivyo jiweka, ukijiweka kiheshima utaheshimika ukijiweka kikahaba watakuchulia hivyo hivyo.
 

Mkuu uzi ungekua umekiuka sheria ungefutwa!

nakushauri fungua mtandao wako afu ndio uweke hizo sheria
 
Ushawahi jiuliza kwanini ukienda kuomba kazi na mwanamke na boss akiwa mwanaume kwanini uwezekano wa wewe kidume kupata ni nadra sana
Mbona hata wake za watu ambao hawajatelekezwa nao wanagawa rushwa ya ngono ili wapate kazi?
 
Hahahhaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wewe unanikataza nisioe unanitakia mema kwer. Wakati ata utamu wake siujui wanaume tuoe
 
wanavaa boxer za buku jero
 
Ukweli usemwe tu kama jiwe gizani haijalisha ataumia nani, Hawa wanawake wa siku hiz hapana kwa kweli.
Ukitelekezwa ndo ukauze uchi kwamba kazi zingine zote hawawezi isipokua kuishi kutegemea kiuno? Basi watuheshim tunaowaweka mjini. Na kwanini utelekezwe ujue kuna shida mahala.
Tusiwatetee hawa wahuni labda useme tupunguze ukali wa maneno.
 
HUmu we jichanganye vile uwezavyo wewe tu upate unachokitaka...
Kama lengo lako ni kujaza makuwa kwa miuzi uzi yako we jaza..wewe tu yani..sis wengine tuko hapa kuburudika na ku make pottential friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…