Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

si wanataka usawa, inawashinda nini kulisha watoto
acha ujinga wewe
waelimishe hao wadada watulie walee watoto, waache mapepe

Nawewe unaridhia usawa kwa kuwaachia malezi ya watoto.si ajabu wanaume wengi siku hizi wanajifanya wanawake.

Mambo mengine hata ndani ya ndoa huwa tunaitikia lakini hatutekelezi,tunaitikia ili waridhike.
 
Mnacomplicate mambo tu. Ukweli ni kuwa people are hurted out there… Hurt people hurt people…..

Humu tunawapa airtime na kuwaprovoke makusudi ili waweze kutema nyongo, sababu ni wazi hawana pakutemea….waliojaa sumu huko mtaani ndio hao mnasikia kwenye news wameua mtu, wamechoma nyumba, wamejinyonga, wameua mtoto, wamebaka mtoto, wamelawiti etc.

Seriously how can you be bold, verbally abuse and calling names to someone you barely knows? Tafsiri ni rahisi tu hawa wanahitaji relief ambayo wanaipata hapa.

I real appreciate this platform 🥂

Some of us tunafahamiana nje ya JF, tunajuana na tunajua kila mtu anamatatizo yake ambayo anajaribu kuyahandle out there, akiwa humu ni mtu anafurahi, cheerful, ana interact vizuri tu na watu, hasababishi harm kwa wengine, thats what we call MATURITY.

Anyways where we dare to talk openly, uhuru ni uhuru tuvumiliane 😂😂😂😂
 
Ukijipendekeza kwa wanawake haikupi assurance ya wao kukupenda. Hua wanaishia kukudharau. Acha kujipendekeza dogo, by nature wanawake wameumbwa kua submissive jifanye unamuheshim sana uone atakavyokudharau.
Mtu kuwazungumzia wanawake in a positive way mnaiita “kujipendekeza” kuwazungumzia in a negative way kama ifanyikavyo humu 24/7 mmeipa jina gani? Kuwarekebisha? 🤣🤣🤣
 
Nyie wanawake mna roho dhaifu sana, sisi wanaume Kuna wanawake tunawatunza na kuwalea miaka kibao lakini hatuwezi kuwatolea maneno kama hayo.

Sasa nyie mwamba inawezekana mishe zake zilifeli anajitafuta mwanamke wake kugharamia bills tu kwa mda mfupi mnatokwa na maneno kibao.

Sentensi yako ya mwisho pia haipo sawa, sio mwanamke tu ndoa aheshimiwe ila binadamu wote wanapaswa kuheshimiwa
 
Tungekuwa wakali kwenye siasa kama tulivyo wakali kwenye jukwaa la mahusiano na ndoa ……… CCM wasingetuchezea hata kidogo. 😅😅😅😅

Very irresponsible citizen kutwa kunanga wake na waume za wengine mnawaacha wanaSiasa wanakula bata kwa kodi zenu.

Out of the topic, but somehow related.
 
Unahukumu wanawake wengine kwa makosa ya wanawake wengine, hii sio sawa. Hujawahi sikia familia ambayo mama ameilea na kuiongoza mwanaume anapofail kufanya hivyo? Mbona ni nyingi tu binafsi nazifahamu.

Wanaume wengi tu wananyanyasa wanawake zao, tusemeje kwamba ME wote ni wanyanyasaji? Sijui kwanini likija suala la mahusiano na ndoa watu mnapenda kutumia kauli za jumla jumla namna hii…
 
Mtu kuwazungumzia wanawake in a positive way mnaiita “kujipendekeza” kuwazungumzia in a negative way kama ifanyikavyo humu 24/7 mmeipa jina gani? Kuwarekebisha? 🤣🤣🤣
Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)
Asilimia kubwa ya feminist wa mtandaoni hua wanaume
 
Sis, this is personal 😂😂😂
 
Fata Mambo yako Mkuu....!

Kama unataka siku moja uje na Uzoefu tofauti hapa JF, jaribu kufuga Kunguru....!
 
Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)
Asilimia kubwa ya feminist wa mtandaoni hua wanaume
Mkuu Da,
Mimi sitafuti attention ni labda tu umehamaki lakini soma vzuri.

kama unayo hoja inayopangua kwamba mwanamke aumizwe na mama yako ni mwanamke basi karibu utuelimisha.
Nipo nina mke mzuri sana na mtoto wala sihitaji “Attention”
Karibu
 
Mkuu uzi ungekua umekiuka sheria ungefutwa!

nakushauri fungua mtandao wako afu ndio uweke hizo sheria
Mkuu wangu Tuo,
Hapana mahala nimesema uzi unakiuka sheria labda kama hukutirirka nami kuanzia mwanzo.

Ni maono yangu tu.
Kama una hoja karibu mkuu.
 
Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)
Asilimia kubwa ya feminist wa mtandaoni hua wanaume
Simping is not illegal.

kuwaambia wanajipendekeza ni kutaka kuwafanya wajisikie vibaya na waache kufanya hivyo…. Ili wale wanaoponda wanawake waendelee, na watu kama wewe hamsemi chochote juu ya wale “wengine “ this is my concern…. Kumbe hawa ni simp wale wengine wape basi jina lao lile maarufu
“misogynists“.

Kuwaacha hivi hivi bila kuwapa jina lao sio fair, wewe kama kocha umechukua upande.

Hapo mwishoni sijaelewa 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…