Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

Na wanaliwa kweli,japo asilimia kubwa wanajilengesha wenyewe...na wachache ni tamaa za mwili za maboss....uchunguza hata comments za baadhi ya wanaume wa jf wanachukulia binti wa kazi kama sehemu ya kupozea pale wake zao wanapowagomea unyumba.Changamoto sana
Boss anamlisha mtoto anapendeza anaona bora ale mwenyewe kuliko kwenda kuliwa huko nje🤣🤣🤣🤣

Dunia ina mambo.

Wafanyakazi wa ndani inabidi wawe part time hamna kulala. Usubuhi anaingia mzigoni jioni nduki kwake.

Kiwekwe kima cha chini kwa housegelo 500k. Atakaye weza awe nae wengine wake zao wabakie kuwa wake na hausigelo
 
Sasa boss hapo ni mpaka kuwe na kampuni inayowaajiri ili hayo yafanyike ?

Na mishahara PAYE inakatwa baada ya kutoa NSSF

Mishahara yao inafika hata 300k ?
Ndio maana sekta yao itambulike serikali inajishau sana kuitenga hii
 
Safi sana ..Kuna hawa vijana wanapenda tu kuwashika wanawake kwenye maungo yao bila ya sababu.Unakuta akimuona tu mdada wa watu anaanza kumfuata mpaka anakosa raha na kukimbia hovyo ..

Wanawashika tu bila ya sababu ,kitu ambacho wasichana wanakosa kujiamini wakiona wanaume kabisa...


Siku moja mtu ashtakiwe ile iwe ni fundisho .
Pole kwa kushikwa ila usiwe mchoyo wape wana
 
Shida kubwa ni wakina mama.

Narudia tena shida kubwa ni wakina mama wenyewe.

Binti hana pa kusemea kwa sababu, mama mwenye nyumba (mlezi wake) ndio utakuta anafuga huo ukatili. Binti atalazimishwa kimapenzi na mwanaume yeyote wa ndani ya nyumba (mume, mtoto, wajomba, wageni nk) lakini akiripoti tu kwa mama, moto utamuwakia.

Ukatili kwa mabinti wa kazi kwenye jamii zetu utaendelezwa daima mpaka siku wanawake wenyewe watakapoamua uishe.

Nipeni wachache wa mfano jamani sound iende vizuri zaidi
 
Kuna utafiti fulani, usio rasmi sana, unaonyesha kuwa, zaidi ya nusu ya vijana kwenye jamii zetu, walipo balehe walianza kufanya mapenzi au kujifunza vitendo vya kimapenzi kupitia wafanyakazi wa ndani wa kwao, ndugu zao au majirani zao.
Naomba hiyo taarifa itanipa maarifa. Sms 0765345777 tafadhali. Tafiti za kijamii ni mwanzo wa tafiti kurasmishwa
 
Safi sana ..Kuna hawa vijana wanapenda tu kuwashika wanawake kwenye maungo yao bila ya sababu.Unakuta akimuona tu mdada wa watu anaanza kumfuata mpaka anakosa raha na kukimbia hovyo ..

Wanawashika tu bila ya sababu ,kitu ambacho wasichana wanakosa kujiamini wakiona wanaume kabisa...


Siku moja mtu ashtakiwe ile iwe ni fundisho .

😂😂😂😂 wacha vijana wafurahie mema ya nchi mkuu
 
Back
Top Bottom