MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Nakupongeza sana Mama Gwajima. Kiukweli unyanyasaji kwa watoto wa kike wasaidizi wa kazi ni mkubwa.
Kwetu hatukuwahi kuwa na msichana wa kazi ila kipindi nakua nilidhani HOUSEGIRL ni mtu maalum wa watoto wa maboss kujifunzia ngono kwa stori nilizokuwa napata toka kwa wenzangu waliokuwa nao majumbani mwao.
Hata baba wenye nyumba pia wanawala sana. Kuna binti alichishwa kazi na mama mwenye nyumba ndani ya masaa 72 toka aanze kazi kwa sababu kwa shepu la yule binti aliona baba mwenye nyumba lazima atatafuna. Yaani ilikuwa huzuni.
Mimi ninashauri bunge lijalo mjadili na kurekebisha sheria iliyopo ili iwe kali sana dhidi ya wanaowaharibu mabinti