KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Dada dorothy, umeua , narudia tena umeuaaaaaKwa mnatunukiana uasherati siyo? Ukigeukwa utajiju. Oa acha kuvunja amri 10
Dada dorothy, umeua , narudia tena umeuaaaaaKwa mnatunukiana uasherati siyo? Ukigeukwa utajiju. Oa acha kuvunja amri 10
Mheshimiwa umeyachapa maneno yako kikatili sana!, nimehuzunika kwakweli kwamaana inaonyesha serikali inaamini watu wote tunafuata sheria za dini!, na sidhani kama kwenye nchi inatambua neno "uasherati" isipokuwa kwenye dini tu!.Kwa mnatunukiana uasherati siyo? Ukigeukwa utajiju. Oa acha kuvunja amri 10
Sina neno lenye mawaa juu yako Mungu asikupungukie na Mh Rais ikimpendeza aendelee kukutumia sehemu nyingine ili jamii Pana ya watanzania ifaidike na huduma yako. Mfano Tamiseni,ElimuF,edha.Ni Rais mchapa kazi ambaye ameendelea kuniamini miaka yote, anachostahili kutoka kwangu ni heshima na kazi kazi kazi ili iwaguse wananchi wake aliowaundia wizara ya maendeleo ya jamii. ✍️🇹🇿
Kama kiongozi na mhimili kwa jamii nahitaji mawazo yako tafadhali !Lete mawazo, mipango ni shirikishi, bottom up. Haya toa maoni yako tafadhali.
Kabisa mkuu...Boss anamlisha mtoto anapendeza anaona bora ale mwenyewe kuliko kwenda kuliwa huko nje🤣🤣🤣🤣
Dunia ina mambo.
Wafanyakazi wa ndani inabidi wawe part time hamna kulala. Usubuhi anaingia mzigoni jioni nduki kwake.
Kiwekwe kima cha chini kwa housegelo 500k. Atakaye weza awe nae wengine wake zao wabakie kuwa wake na hausigelo
Alishikwa mama yako ,hapa nafikisha ujumbePole kwa kushikwa ila usiwe mchoyo wape wana
Hapo kwenye Elimu ya ukombozi wa fikra utasubiri sana Mkuu. Tutaendelea kupewa hii hii ya kutafuta divisheni wani. Kuna watu ujinga wa watu kwao ni FURSA!🤣Tatizo la haya yote ni ujinga.
Wewe Dkt. Gwajima D unapigani wafanya kazi wa ndani kunyanyaswa huoni chama chako cha CCM kinavyo wananyasa watanzania wengi kuanzia dini hadi wapinzani.
Tena mkuu wa yote haya ni mwanamke mwenzio kama sio unafiki ni nini? Au kwako unyanyasaji unautafsiri vipi?
Kama tunaweza kukemea unyanyasaji wa ndani tena huko faraghani vipi huo wa nje kwanini tusiupigie kelele? Kuonesha Nia yetu thabiti.
maboss wengi wanaowanyanyasa wafanyakazi wa ndani ni Ninyi wanawake kuanzia matusi hadi kipigo. Kwa hili hamtakiwi kulikwepa. Ila kwa sababu ninyi wanawake ni wabinfsi mnataka kutuaminisha kuwa wanaume ndiyo wahusika wakubwa.
Ushauri! Serikali kama vile inavyotumia nguvu nyingi kwenye mambo ya kipuuzi basi itumie nguvu nyingi vilevile kwenye Elimu! Elimu! Tena Elimu ya ukombozi wa kifkra.
Mtu akisha elimika hunasababu ya kutumia nguvu nyingi kama mnazotumia sasa hivi.
Jamii yetu asilimia kubwa bado inaishi kijima ni kama vile bado watu hawana ustarabu.
Hata hao waliosoma ndio wajinga kabisa.
Baadae huwa wanakuwaga mabosiNa wanaliwa kweli,japo asilimia kubwa wanajilengesha wenyewe...na wachache ni tamaa za mwili za maboss....ukichunguza hata comments za baadhi ya wanaume wa jf wanachukulia binti wa kazi kama sehemu ya kupozea pale wake zao wanapowagomea unyumba.Changamoto sana
Pole na pia mpe pole mama yakoAlishikwa mama yangu ,hapa nafikisha ujumbe Kwa nilivyobakwa
😂😂😂😂😂Kwa mnatunukiana uasherati siyo? Ukigeukwa utajiju. Oa acha kuvunja amri 10
Mkuu una maanisha wale wala nauli?Kuna wadada pia wanatumia Hela zetu sana alafu wanakua wachoyo, naomba serikali iwachukulie hatua
Umemaliza kila kitu mkuu.Kuna watu ujinga wa watu kwao ni FURSA!