mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
Hongera Sana Waziri kwa jitihada hizi, tukumbuke pia kwenye maombi Sisi vijana wako, maana nyama ya mdadi WA kazi ni tamu, pia kuna Ka shombo Fulani hivi wanako huwa kanatuchanganya
Tuanze na huyo aliye ripotiwa na kitakachotokea iwe fundisho kwa wengine.Wasaalam wote.
Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi:
...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi. Tayari tumeripoti ingawa, anaendelea kutuma vitisho na alishaapa kuwa, msichana wa kazi yoyote yule lazima alale nae uwe kwa hiari au kwa lazima. Mama tunaomba msaada".....
LENGO LA KUKUSHIRIKISHA MWANAJAMII; ni ufahamu kuwa haya nayo yapo na huenda huko kwako pia yapo ila, yanafichwa kwa uoga au kumlinda mtoto wa boss. Hivyo, chunguza chukua hatua a.k.a FAHAMU, ELIMIKA, CHUKUA HATUA [FAECH].
WITO; wasaidizi wa kazi waheshimiwe na tukipata taarifa mtoto wa boss atajua hajui. Wengine vunjeni ukimya tafadhali.
KINACHOENDELEA; ufuatiliaji wa karibu unaendelea kwenye hatma ya tukio hili.
Ahsanteni kwa ushirikiano, tunafikika na watu wote hadi vijijini hata wenye simu za vitochi hivyo, tuongeze ushirikiano ukatili utaisha siku moja.
✍️🇹🇿
Ikumbukwe, wasaidizi wa kazi wanaweza kuwa wa kike au kiume.
Naye @peace_maker_pm kasema kumbe, hata baadhi ya maboss wako kama watoto wao..... 🤔🤔🤔PIA TOENI TAARIFA HARAKA.
Wengine nao wanasema, kuna wasaidizi wa kazi wananyanyasa watoto wa maboss... ko, nao tupate taarifa pia.
Nawatakia ushirikiano mwema✍️
Tatizo wanawake wenyewe hawaripoti matukio ya namna hiiSafi sana ..Kuna hawa vijana wanapenda tu kuwashika wanawake kwenye maungo yao bila ya sababu.Unakuta akimuona tu mdada wa watu anaanza kumfuata mpaka anakosa raha na kukimbia hovyo ..
Wanawashika tu bila ya sababu ,kitu ambacho wasichana wanakosa kujiamini wakiona wanaume kabisa...
Siku moja mtu ashtakiwe ile iwe ni fundisho .
Wengine tunaogopa kusema tukidhani ili usikilizwe ni lazima uwe ccemu.Wasaalam wote.
Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi:
...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi. Tayari tumeripoti ingawa, anaendelea kutuma vitisho na alishaapa kuwa, msichana wa kazi yoyote yule lazima alale nae uwe kwa hiari au kwa lazima. Mama tunaomba msaada".....
LENGO LA KUKUSHIRIKISHA MWANAJAMII; ni ufahamu kuwa haya nayo yapo na huenda huko kwako pia yapo ila, yanafichwa kwa uoga au kumlinda mtoto wa boss. Hivyo, chunguza chukua hatua a.k.a FAHAMU, ELIMIKA, CHUKUA HATUA [FAECH].
WITO; wasaidizi wa kazi waheshimiwe na tukipata taarifa mtoto wa boss atajua hajui. Wengine vunjeni ukimya tafadhali.
KINACHOENDELEA; ufuatiliaji wa karibu unaendelea kwenye hatma ya tukio hili.
Ahsanteni kwa ushirikiano, tunafikika na watu wote hadi vijijini hata wenye simu za vitochi hivyo, tuongeze ushirikiano ukatili utaisha siku moja.
✍️🇹🇿
Ikumbukwe, wasaidizi wa kazi wanaweza kuwa wa kike au kiume.
Naye @peace_maker_pm kasema kumbe, hata baadhi ya maboss wako kama watoto wao..... 🤔🤔🤔PIA TOENI TAARIFA HARAKA.
Wengine nao wanasema, kuna wasaidizi wa kazi wananyanyasa watoto wa maboss... ko, nao tupate taarifa pia.
Nawatakia ushirikiano mwema✍️
Ahahaaaaa 😁I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Hili linakera sana, Naomba tuwe kama nchi za wenzetu. Kumshika mtu yeyote bila ridhaa yake hasa mwanamke ni kosa na unyanyasaji mkubwa.Safi sana ..Kuna hawa vijana wanapenda tu kuwashika wanawake kwenye maungo yao bila ya sababu.Unakuta akimuona tu mdada wa watu anaanza kumfuata mpaka anakosa raha na kukimbia hovyo ..
Wanawashika tu bila ya sababu ,kitu ambacho wasichana wanakosa kujiamini wakiona wanaume kabisa...
Siku moja mtu ashtakiwe ile iwe ni fundisho .
Kesi iko Polisi tayari. Yaani nyie hamjui, kuna wakati tunahangaika kutetea watu halafu mlalamikaji kirahisi tu anaandika barua ya kufuta kesi huku alipigwa hadi uso umechakaa hatari. Hamjui mengi sana. Ngoja tuendelee nayo kwanza ila yametukutaga mengi tuTuanze na huyo aliye ripotiwa na kitakachotokea iwe fundisho kwa wengine.
Bi mkubwa kama yupo serious yeye aseme tuu kuwa minimum wage ya hausigelo ni laki 3 kwa mwezi shughuli kwishney na hamna kulala.mzabzab njoo umsikize bi mkubwa