Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

Ni kweli ushoga ni kosa kisheria. Aidha, wako wengi ambao waliamua kuchukua hatua za kuchana na mambo hayo wakafika kwenye msaada wa huduma za kijamii za kisaikolojia na unasihi na maendeleo kwa ujumla na wakaacha. Vituo vya huduma za afya na ustawi wa jamii vipo kwa ajili ya wahanga mbalimbali wanaohitaji unasihi na huduma za afya hivyo, huko ulikowasikia wape elimu tafadhali. Kwa elimu zaidi tuwasiliane sms 0765345777
Nashukuru sana Mama yangu Mhe. Gwajima D.

Lakini unafikiri, hisia za mapenzi zinaweza kutibiwa kwa USHAURI NASAHA?

Leo tuzungumze kama mama na mwana!

Kweli labda inawezekana mtu akaacha kufanya mapenzi ya jinsia moja kutokana na kushauriwa au kukaripiwa au kutishwa, lakini unafikiri hizo hisia za ushoga zinaweza kutoweka na kuisha kabisa kwa kushauriwa tu?

Unaweza ukamshauri simba aache kula nyama?

Unaweza ukamshauri ng'ombe ale mifupa?
 
Wasaalam wote.

Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi:

...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi. Tayari tumeripoti ingawa, anaendelea kutuma vitisho na alishaapa kuwa, msichana wa kazi yoyote yule lazima alale nae uwe kwa hiari au kwa lazima. Mama tunaomba msaada".....

LENGO LA KUKUSHIRIKISHA MWANAJAMII; ni ufahamu kuwa haya nayo yapo na huenda huko kwako pia yapo ila, yanafichwa kwa uoga au kumlinda mtoto wa boss. Hivyo, chunguza chukua hatua a.k.a FAHAMU, ELIMIKA, CHUKUA HATUA [FAECH].

WITO; wasaidizi wa kazi waheshimiwe na tukipata taarifa mtoto wa boss atajua hajui. Wengine vunjeni ukimya tafadhali.

KINACHOENDELEA; ufuatiliaji wa karibu unaendelea kwenye hatma ya tukio hili.

Ahsanteni kwa ushirikiano, tunafikika na watu wote hadi vijijini hata wenye simu za vitochi hivyo, tuongeze ushirikiano ukatili utaisha siku moja.
[emoji3578][emoji1241]

Ikumbukwe, wasaidizi wa kazi wanaweza kuwa wa kike au kiume.

Naye @peace_maker_pm kasema kumbe, hata baadhi ya maboss wako kama watoto wao..... [emoji848][emoji848][emoji848]PIA TOENI TAARIFA HARAKA.

Wengine nao wanasema, kuna wasaidizi wa kazi wananyanyasa watoto wa maboss... ko, nao tupate taarifa pia.

Nawatakia ushirikiano mwema[emoji3578]

Dada yangu mh Gwajimad, hii issue ya wafanyakazi wa ndani hebu wekeni minimum salary kwa wafanyakazi wote wa ndani. Hawa mabinti wengi wanalipwa kidogo sana na unakuta ana majukumu mengi sana kwenye hio familia hadi wakati mwingine kunyanyasika kingono na vijana wa hio nyumba sababu hana la kufanya na pesa anaitaka.

Ushauri kwako waziri mwenye dhamana ya makundi maalum.
1. Nyumba yenye mtu mmoja - Minimum salary iwe 80k+

2. Familia ya watu 2. Minimum salary iwe 100+

3.Familia ya watu 3-5- Minimum salary iwe 120+

4.Familia ya watu 6+, Minimum salary iwe 150+

5.Familia yenye mgonjwa anaehitaji uangalizi wa mfanyakazi, kama kuogeshwa, kulishwa, kufuliwa nk - Minimum salary 250k

Familia za kigeni (wasio raia) - Minimum salary 250k

Wekeni sheria ili watu waanza kuwaheshimu wadada na wakaka wa kazi za nyumbani, wao ndio wanalinda usalama wa familia zetu.

Nawasilisha hoja mh waziri[emoji4] Dkt. Gwajima D
 
Udhalilishwaji upo mwingi, kwa mfano kuwagawia watoto wa kike vifaa vya kujisitiri na kuwapiga picha kama 👇
1751886224717.jpeg
 
Dada yangu mh Gwajimad, hii issue ya wafanyakazi wa ndani hebu wekeni minimum salary kwa wafanyakazi wote wa ndani. Hawa mabinti wengi wanalipwa kidogo sana na unakuta ana majukumu mengi sana kwenye hio familia hadi wakati mwingine kunyanyasika kingono na vijana wa hio nyumba sababu hana la kufanya na pesa anaitaka.

Ushauri kwako waziri mwenye dhamana ya makundi maalum.
1. Nyumba yenye mtu mmoja - Minimum salary iwe 80k+

2. Familia ya watu 2. Minimum salary iwe 100+

3.Familia ya watu 3-5- Minimum salary iwe 120+

4.Familia ya watu 6+, Minimum salary iwe 150+

5.Familia yenye mgonjwa anaehitaji uangalizi wa mfanyakazi, kama kuogeshwa, kulishwa, kufuliwa nk - Minimum salary 250k

Familia za kigeni (wasio raia) - Minimum salary 250k

Wekeni sheria ili watu waanza kuwaheshimu wadada na wakaka wa kazi za nyumbani, wao ndio wanalinda usalama wa familia zetu.

Nawasilisha hoja mh waziri[emoji4] Dkt. Gwajima D
Maoni yako mazuri sana. Nitasema na Waziri wa Kazi na Ajira.
 
Shida kubwa ni wakina mama.
Narudia tena shida kubwa ni wakina mama wenyewe.
Binti hana pakusemea kwa sababu, mama mwenye nyumba (mlezi wake) ndio utakuta anafuga huo ukatili. Binti atalazimishwa kimapenzi na mwanaume yoyote wa ndani ya nyumba (mume, mtoto, wajumba, wageni nk) lakini akiripoti tu kwa mama, moto utamuakia.

Ukatili kwa mabinti wa kazi kwenye jamii zetu utaendelezwa daima mpaka siku wanawake wenyewe watakapoamua uishe.
Upo sahihi wakati mwingine wanawake wenye nyumba hulalamikiwa na binti wa kazi kuwa baba ananisumbua na hakuna hatua yoyote
 
Si watoto wa maboss tu, hata waume za maboss. Mabinti wengi wamepigwa mimba na baba wenye nyumba na kutelekezwa.
 
Wasaalam wote.

Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi:

...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi. Tayari tumeripoti ingawa, anaendelea kutuma vitisho na alishaapa kuwa, msichana wa kazi yoyote yule lazima alale nae uwe kwa hiari au kwa lazima. Mama tunaomba msaada".....

LENGO LA KUKUSHIRIKISHA MWANAJAMII; ni ufahamu kuwa haya nayo yapo na huenda huko kwako pia yapo ila, yanafichwa kwa uoga au kumlinda mtoto wa boss. Hivyo, chunguza chukua hatua a.k.a FAHAMU, ELIMIKA, CHUKUA HATUA [FAECH].

WITO; wasaidizi wa kazi waheshimiwe na tukipata taarifa mtoto wa boss atajua hajui. Wengine vunjeni ukimya tafadhali.

KINACHOENDELEA; ufuatiliaji wa karibu unaendelea kwenye hatma ya tukio hili.

Ahsanteni kwa ushirikiano, tunafikika na watu wote hadi vijijini hata wenye simu za vitochi hivyo, tuongeze ushirikiano ukatili utaisha siku moja.
✍️🇹🇿

Ikumbukwe, wasaidizi wa kazi wanaweza kuwa wa kike au kiume.

Naye @peace_maker_pm kasema kumbe, hata baadhi ya maboss wako kama watoto wao..... 🤔🤔🤔PIA TOENI TAARIFA HARAKA.

Wengine nao wanasema, kuna wasaidizi wa kazi wananyanyasa watoto wa maboss... ko, nao tupate taarifa pia.

Nawatakia ushirikiano mwema✍️

Chai
 
HIvi walimu nao ni maboss ?
 
Boresheni mishahara yao na hii tasnia inabidi iwe official itambulike na wao wawe wanalipa Kodi
Na maboss wanaowalipa waongezewe posho mana wamezaa watoto Watanzania hasa kule kwenye kaya maskini. Vinginevyo hawataweza kuajiri wasaidizi wa kazi za nyumbani.
 
Mh Waziri, kuna kundi maalumu liko chini ya wizara yako.
Hili ni linapitia mateso mnoo, tena makuu, sahivi nawiwa kukuletea, tena hapa jukwaani tujadili kwa uwazi na upana, nahitaji ushirikiano wako
Njoo ofisini
 
Hu
Safi sana ..Kuna hawa vijana wanapenda tu kuwashika wanawake kwenye maungo yao bila ya sababu.Unakuta akimuona tu mdada wa watu anaanza kumfuata mpaka anakosa raha na kukimbia hovyo ..

Wanawashika tu bila ya sababu ,kitu ambacho wasichana wanakosa kujiamini wakiona wanaume kabisa...

Siku moja mtu ashtakiwe ile iwe ni fundisho .
Hua inakera mpaka hasira nasikia mimi.
 
Nashukuru sana Mama yangu Mhe. Gwajima D.

Lakini unafikiri, hisia za mapenzi zinaweza kutibiwa kwa USHAURI NASAHA?

Leo tuzungumze kama mama na mwana!

Kweli labda inawezekana mtu akaacha kufanya mapenzi ya jinsia moja kutokana na kushauriwa au kukaripiwa au kutishwa, lakini unafikiri hizo hisia za ushoga zinaweza kutoweka na kuisha kabisa kwa kushauriwa tu?

Unaweza ukamshauri simba aache kula nyama?

Unaweza ukamshauri ng'ombe ale mifupa?
Nyie mnajiendekeza halafu bado mnataka sheria ziwalinde. Hilo haliwezekani.
 
Back
Top Bottom