Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huo wa Magufuli hivi unajulikana?Waanze na mshahara wa Magufuli na mishahara yote ya Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu wa wizara na manaibu wao na Wakuu wa Wilaya. Waliobaki mishahara yao usiguswe.
Hahaaaaa atakayefuatia ndio atasema hakuna mshahara kabisa maana hawa watu sijui wanatumia kiungo gani kufikiri na kufanya maamuzi!Twende kazi baba...Fanya yako ulale mbele waje wengine
Kwani yeye mkulu alikuwa anaishije, then and now!!?
Tena utasikia wanasema.. Wanasisitiza atengeneze mfumo(sheria)Watu wamekuwa wakilalamikia posho za kila namna halafu anatokea mtu anaenda kuzishughulikia wahamisha magoli watakuja na kauli mbiu nyingine...
Huo wa Magufuli hivi unajulikana?
Hahaaaa umenifurahisha sanaMikanda haitatutosha tutarudi kwenye kujifunga Kamba za mkonge
Ndo maana kuna haja ya kutungwa sheria ya uwazi kuhusu malipo yote ya viongozi wa umma.$192,000* 2,183 (conversion rate ya leo) hataki mshahara wake tuujue pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake yangu April mwaka huu ili kuonyesha mshahara wake kwa mwezi ni 9.5 millioni kitu ambacho si cha kweli.
So what ?$192,000* 2,183 (conversion rate ya leo huu ni mshahara wa mwaka) hataki mshahara wake tuujue pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake yangu April mwaka huu ili kuonyesha mshahara wake kwa mwezi ni 9.5 millioni kitu ambacho si cha kweli.
Mkuu mbona taarifa hii bado ni tetesi lakini una-comment kama ni comfirmed.Why don't you be patient.Inaonekana kuna chuki ya aina fulani hivi.Trend hii naiona in most of the comments.Kuna shida!
Ndo maana kuna haja ya kutungwa sheria ya uwazi kuhusu malipo yote ya viongozi wa umma.
Watu hatuwezi tukawa tunakatwa kodi halafu tusijue hela zetu zinatumiwaje.
Unazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]
Mkuu mbona taarifa hii bado ni tetesi lakini una-comment kama ni comfirmed.Why don't you be patient.Inaonekana kuna chuki ya aina fulani hivi.Trend hii naiona in most of the comments.Kuna shida!
Wanakata 2/3. Mtumishi abakiwe na 1/3fatilia mkuu halafu urudi tena, pia katika mikopo mabenk huwa wanakata 1/3 ya mshahara
Well said brotherUnazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]
So what Kitu gani.atangaze hadharani analipwa sh.ngapi kama alivyoahidi.So what ?
Hataki , kwani lazima.So what Kitu gani.atangaze hadharani analipwa sh.ngapi kama alivyoahidi.
Bila kujua akpunguza mishahara anapunguza na kodi zotokanazo na mishahara ya watumishi wa ummaYaani huyu jamaa badala ya kukuza uchumi ili apate fedha za kutoa huduma kwz wananchi, anatafuta kutupunguzia mishahara ili apate pesa za kujenga mapaarapara? Kawaida mishahara huwa inaongezwa sio kupunguzwa! Mbona yeye mwenyewe hata kiasi analipwa na marupurupu yake hajawahi kuyaweka wazi?