Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

Watoto wakianza kujielewa tu, fukuza nyumbani wakaanze kujitegemea, ukiwachelewesha sana wanaanza kutegemea Mali zako.
Ni vizuri kuwajengea msingi tangu mwanzo kutegemea kuajiriwa kuwe ni ziada tu lakini funza ujasiliamali tangu wadogo kama wafanyavyo weupe.
 
Ukiona Jamii inapenda Sana ngono ni lazima umasikini utamalaki
 
Mwanza sa huu mwezi toka umeanza tukio kama sio la nne basi la tatu la mauaji.
 
Kweli na kuna zile familia za kifalme, wale nao wanauana sana yaani mtoto kumtanguliza baba kawaida sana.
 
Mwanza sa huu mwezi toka umeanza tukio kama sio la nne basi la tatu la mauaji.
Hiyo ni kawaida yao, kabla mwaka haujaisha utasikia mauaji mengine. Ni vigumu sana kusikia mauaji Lindi au Mtwara kule. Huko Mwanza ni roho mbaya kila kona
 
Hiyo ni kawaida yao, kabla mwaka haujaisha utasikia mauaji mengine. Ni vigumu sana kusikia mauaji Lindi au Mtwara kule. Huko Mwanza ni roho mbaya kila kona
Kwa hyo sie watu wa Mwanza tuna roho mbaya.
Sema hata mim baba angu aliuliwa na mdg ake kwa kuwekewa sumu akinitumia mchepuko na alilipwa pesa ndogo sana.
Hakuna hukumu ilotolewa kesi ukikosa ushahidi baada ya muda huyo ba angu mdg mtoto ake alikua teja akafariki mtoto ake mwingine akawa kama vile chizi si chizi. Amebaki na mtoto mmja mzima.
Huyo mchepuko sa hiv anauza viaz vitamu sokoni yani anatia huruma acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…