inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wanaendelea utamaduni wetu wasukuma,dingi ukishazisaka ukazipata,Maza anakonsipaya na watoto wakuue,zamani wazee walikua wanahama wanaenda kuanzisha mji mwingine kwingineHii ni Afrika bhana ukiwa nazo ni kasheshe, ukizikosa ni kazeze