one republic
Member
- Jul 1, 2021
- 79
- 135
isije kuwa ya yule mtoto aliyemuadopt madona yule mmalawi itakuwa mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.Huyo Mama atakuja kumshukuru Mhindi kwa baadae, kuna Watanzania wamepata fursa za kuishi nje just for this kind of love.
Nenda kule uchagani uone jinsi watoto wengi wameenda Nje kwa njia hii, Wazazi wanaelewa kabisa hizi senario, huko Mwanza bado tongotongo nyingi
Hakuna upendo hapo, hawa wanaongelea mihemko ya tamaa zao za hela na maisha mteremko hawashirikishi medula oblangataKashindwa hata kuwaachia hata nyumba au chumba baba mtu akae au mama mtu,Upendo gan huo
Najua familia za Kichagga UK, njia kama hizi zilitumika. Na sasa hivi wazazi wao wanaenda UK any time kufanya check up n.kHuwezi kumpangia mtu utashi, yeye siyo wa kwanza wala wa mwisho kuadapt mtoto ambaye siyo yatima, ni vile tu wengi hamyajui haya, uliza historia ya Utajili aliorithi Alex Kajumuro Marekani miaka hiyo enzi za Kajumuro world soccer.
Tena Watanzania wengi wamechukuliwa vijijini na kuletwa mjini na kulelewa na ndugu na kusomeshwa lakini hawakutaa ili wabaki vijijini na Wazazi wasuguwe dhiki vizuri.
Kwani wa Magomeni na Kinondoni wameingizwa ushoga na wazungu?Tatizo wasimwingize kwe ushoga
Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm outSasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
Na maisha yao ni murua kabisa!!Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
Wasiwasi ndio akili, nikiwaza yule dogo aliyechukuliwa na madona napata wasiwasi aiseeNi wasi wasi tu😅😅
Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm outHuyo Mama atakuja kumshukuru Mhindi kwa baadae, kuna Watanzania wamepata fursa za kuishi nje just for this kind of love.
Nenda kule uchagani uone jinsi watoto wengi wameenda Nje kwa njia hii, Wazazi wanaelewa kabisa hizi senario, huko Mwanza bado tongotongo nyingi
Wewe ndio unaonekana rubbish hapa, na tatizo lako kubwa umekosa exposure tu.Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm out
Mpaka mataahira kama Mbuta Namba lakini yupo Uingereza.Najua familia za Kichagga UK, njia kama hizi zilitumika. Na sasa hivi wazazi wao wanaenda UK any time kufanya check up n.k
Kipindi hicho wangekaza mafuvu yao hii maisha pengine wasingeyapata.
Wewe huna akili, siyo Wahindi wote ni wa India, kuna Wahindi kwao ni Canada na wengine kwao ni Uingereza.
Go out motherfanta, baada ya Mungu ni mzungu fullstop.Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm out
Flora? 😀 😀 😀Mpaka mataahira kama Mbuta Namba lakini yupo Uingereza.
Exposure ya nini wewe we na exposure yako mbona bado mshamba tu na mtumwa wa akili, kama exposure ndo inaleta mawazo ya kibwabwa hivi acha nifie bongoWewe ndio unaonekana rubbish hapa, na tatizo lako kubwa umekosa exposure tu.
Go out motherfanta, baada ya Mungu ni mzungu fullstop.
Utakufa tu muda wako ukifika.Exposure ya nini wewe we na exposure yako mbona bado mshamba tu na mtumwa wa akili, kama exposure ndo inaleta mawazo ya kibwabwa hivi acha nifie bongo
Rish Sunak ni mhindi na PM wa taifa kubwa kabisa duniani.
Hujui maana ya mtoto!Watanzania uchawi ni asili yetu, yani umaskini walionao Wazazi hawaridhiki mpaka mtoto naye arithi dhiki?
Kwa ninavyojuwa Mimi hapo kuna proper communication na huyo muhusika kwa Mimi binafsi sioni tatizo kabisa, kwa asiyeelewa vizuri mambo haya hawezi kuelewa na atamlaumu baba.
Lakini kwa maoni yangu baba amefanya uwamuzi wa busara kabisa kumpa kibali huyo muhindi na ameahidi mtoto atakuwa anarudi kwa Wazazi wake, na isitoshe huyo mtoto anakwenda kuwa RAIA wa Canada na amesoma Canada atakuja kuokowa ndugu zake mbele ya safari.
RubbishUtakufa tu muda wako ukifika.