Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

Huyo Mama atakuja kumshukuru Mhindi kwa baadae, kuna Watanzania wamepata fursa za kuishi nje just for this kind of love.

Nenda kule uchagani uone jinsi watoto wengi wameenda Nje kwa njia hii, Wazazi wanaelewa kabisa hizi senario, huko Mwanza bado tongotongo nyingi
Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
 
Huwezi kumpangia mtu utashi, yeye siyo wa kwanza wala wa mwisho kuadapt mtoto ambaye siyo yatima, ni vile tu wengi hamyajui haya, uliza historia ya Utajili aliorithi Alex Kajumuro Marekani miaka hiyo enzi za Kajumuro world soccer.

Tena Watanzania wengi wamechukuliwa vijijini na kuletwa mjini na kulelewa na ndugu na kusomeshwa lakini hawakutaa ili wabaki vijijini na Wazazi wasuguwe dhiki vizuri.
Najua familia za Kichagga UK, njia kama hizi zilitumika. Na sasa hivi wazazi wao wanaenda UK any time kufanya check up n.k

Kipindi hicho wangekaza mafuvu yao hii maisha pengine wasingeyapata.
 
Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
Na maisha yao ni murua kabisa!!

Mwanza people need exposure kwa kweli.

Huko Duniani Watanzania bado ni wachache sana.

Hizi fursa wasizichezee.

Nawashangaa wadau hapa wanamponda mhindi kumchukua mtoto.
 
Huyo Mama atakuja kumshukuru Mhindi kwa baadae, kuna Watanzania wamepata fursa za kuishi nje just for this kind of love.

Nenda kule uchagani uone jinsi watoto wengi wameenda Nje kwa njia hii, Wazazi wanaelewa kabisa hizi senario, huko Mwanza bado tongotongo nyingi
Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm out
 
Watanzania uchawi ni asili yetu, yani umaskini walionao Wazazi hawaridhiki mpaka mtoto naye arithi dhiki?

Kwa ninavyojuwa Mimi hapo kuna proper communication na huyo muhusika kwa Mimi binafsi sioni tatizo kabisa, kwa asiyeelewa vizuri mambo haya hawezi kuelewa na atamlaumu baba.

Lakini kwa maoni yangu baba amefanya uwamuzi wa busara kabisa kumpa kibali huyo muhindi na ameahidi mtoto atakuwa anarudi kwa Wazazi wake, na isitoshe huyo mtoto anakwenda kuwa RAIA wa Canada na amesoma Canada atakuja kuokowa ndugu zake mbele ya safari.
Hujui maana ya mtoto!
 
Back
Top Bottom