Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
 
Najua familia za Kichagga UK, njia kama hizi zilitumika. Na sasa hivi wazazi wao wanaenda UK any time kufanya check up n.k

Kipindi hicho wangekaza mafuvu yao hii maisha pengine wasingeyapata.
 
Sasa Wachaga uwafananishe na wasukuma? Kule Marangu wamezaa kabisa na Wajerumani.
Na maisha yao ni murua kabisa!!

Mwanza people need exposure kwa kweli.

Huko Duniani Watanzania bado ni wachache sana.

Hizi fursa wasizichezee.

Nawashangaa wadau hapa wanamponda mhindi kumchukua mtoto.
 
Kumbe nabishana na akili za kitumwa zinazoamini mzungu ni mungu.. Rubbish I'm out
 
Wewe ndio unaonekana rubbish hapa, na tatizo lako kubwa umekosa exposure tu.
Exposure ya nini wewe we na exposure yako mbona bado mshamba tu na mtumwa wa akili, kama exposure ndo inaleta mawazo ya kibwabwa hivi acha nifie bongo
 
Hujui maana ya mtoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…