Smile Digital Stationery
JF-Expert Member
- May 5, 2024
- 202
- 317
Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.mtoto hajaomba azaliwe,, baba kawazaa kwa starehe zake,, sasa why awaache wateseke ?
kama alikuwa mbinafsi alipaswa asizae watoto
Urithi sio obligation kama alikulisha na kukusomesha huo ni urithi tosha na kama vipi unaona alikosea kukuzaa unaweza kumeza sumu ukafa....;Yeye kama hakupewa chochote basi baba yake anamakosa. Kama hataki kuwapa urithi watoto kwani aliwazaa? Nani alimwambia ajamiiane kwa raha zake na kuwazaa watoto ambao hataki kuwahudumia?
Umalaya uachwe kama ni hivyo?
li mnaleke ni maarufu sana maeneo ya kusini ana ardhi mpaka kariakoo?je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Hyo ni matumiz ya mali zake aloztafuta kwa jasho lake, kwann mumpangie?Kwa upumbavu wake wa kudanganywa kuwa ukitoa Mali kanisani au msikitini unapata thawabu ilihali umewaacha watoto na familia katika masikitiko.
Unakuta Mzee anamiaka 70s baado anawalisha watoto wanamiaka 40s hawajasoma na wanachagua kazi na hawataki kazi wanashinda kijiweni wanasubir dingi afe wauze mali 😄😄😄😄Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Yaan mm naonaga n upuuzi sana, yaan lbda mzee mwenyewe aamue kuwagea, ila sio wafanye ndo lazima.Unakuta Mzee anamiaka 70s baado anawalisha watoto wanamiaka 40s hawajasoma na wanachagua kazi na hawataki kazi wanashinda kijiweni wanasubir dingi afe wauze mali 😄😄😄😄
Mzee kastukia Dili kaona tukose wote🔧🔧🔧
Mzazi wa hivyo nitamnyoosha vikali mno, Mimi Kuna baadhi ya vitu kamwe sikubaliani navyo maishani hata kama sheria ya nchi inasema vinginevyo.Urithi sio obligation kama alikulisha na kukusomesha huo ni urithi tosha na kama vipi unaona alikosea kukuzaa unaweza kumeza sumu ukafa....;
Kelele unaweza kupiga tu ikiwa na wewe ulikuwa part ya nguvu kazi i.e. kuchuma mfano kama ni shamba na wewe ulikuwa unalima hadi kupelekea yeye kuongeza ekari kadhaa...
Yaani huyu mzee angekuwa baba yangu lazima ningemyoosha hadi angenyooka. Haiwezekani unizae kwa starehe zako halafu uniache taabuni halafu bahati nzuri una Mali.Hyo ni matumiz ya mali zake aloztafuta kwa jasho lake, kwann mumpangie?
Na unadhani mtu mwenye fikra kama zako anastahili hata urithi wa nguo au viatu ? Ukishabadilisha utashi wa mtu kuwa lazima / wajibu hata anayetoa anaweza kusema ngoja akuonyeshe nani ni nani....Mzazi wa hivyo nitamnyoosha vikali mno, Mimi Kuna baadhi ya vitu kamwe sikubaliani navyo maishani hata kama sheria ya nchi inasema vinginevyo.
Sheria kwangu ni kitabu tu na ina makosa mengi.
Kama mimi ningekuwa mtoto wake ingekuwa ni must.Yaan mm naonaga n upuuzi sana, yaan lbda mzee mwenyewe aamue kuwagea, ila sio wafanye ndo lazima.
Mkuu kwenye baadhi ya vitu mimi ama niuawe au Niue.Na unadhani mtu mwenye fikra kama zako anastahili hata urithi wa nguo au viatu ? Ukishabadilisha utashi wa mtu kuwa lazima / wajibu hata anayetoa anaweza kusema ngoja akuonyeshe nani ni nani....
Tena at best badala ya kutoa urithi ni kuwatengenezea Trust hao warithi ili kama ni biashara iendelee kuendeshwa kama biashara na wao kuchukua mgao (kuna watu wana akili mbovu sana na kuwapa kwako kitu ni kama kuwapa sababu ya kupelekana mahakamani); Na kwa akili ya hawa kwenda Mahakamani nadhani mzee is right (after all yeye anawatambua zaidi kuliko mimi na wewe)
Kuna mzee mmoja alikua na wadhifa mkubwa serikalini mpaka amestaafu miaka 15+na ushee nyuma.Pia atwambie. Wale watoto waliouza nyumba hapo kariakoo je kuna yeyote alishawahi jikwamua kiuchumi kwa kuuza nyumba??
Kwann wew usitafute mali zako usubir za kurithi tena kwa lazima?,Yaani huyu mzee angekuwa baba yangu lazima ningemyoosha hadi angenyooka. Haiwezekani unizae kwa starehe zako halafu uniache taabuni halafu bahati nzuri una Mali.
Kwahyo naww ungekufa kabla yke angetakiwa nae agombee mali zako na familia yko?Kama mimi ningekuwa mtoto wake ingekuwa ni must.
Wapo wengi waliodekezwa wazazi wakifa wanapata taabu kweli kweliKuna mzee mmoja alikua na wadhifa mkubwa serikalini mpaka amestaafu miaka 15+na ushee nyuma.
Alipo fariki kila mtoto ambao walichezea shule na walidekezwaga Sana wanaanza kugombea mali za marehemu na kuzifuja bila huruma
WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NA WANALEWAA NA KUHONGA WANAWAKE NA KILA UCHAFU UUJUAO
Mimi Mali zangu nazitafuta tena kwa jasho lakini kitu ambacho kinanikera ni wazazi wanaowalea watoto vibaya halafu baadaye wanawatupia lawama. Wakati mwengine mzazi anashindwa kumwandalia mtoto wake maisha mazuri halafu anamwacha taabuni yeye anauza assets zote.Kwann wew usitafute mali zako usubir za kurithi tena kwa lazima?,
Kuna watu wamezaliwa n vilema wa viungo lakin wanapambana kwenye utafutaji ila wew umekalia kusubir mserereko
Mkuu kwa kweli leo Ile heshima ndogo ambayo nilikua nakupa nimeiondoa KABISA KABISA.Mali yake kama asinge zaa ukisha zA watoto hiyo ni kali ya familia tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri ...mambo ya kipumbavu kama hayo ndiyo yamefanya kule marekani watu kukataa hata ndoa maana unaoa una zaa watoto kisha mke analeta mizozo unapokonywa mali anapewa mwanamke wakati watoto ndiyo ulio watafutia mali ...kuna famil8a moja mtaan8 yule mzee alioa na kuoata mali na watoto basi alipokufa huku nyuma mke kaanza kutumia mali dhidi ya watoto anadai ni mali za mumewe wao watafute za kwao watoto wote wamealibikiwa maisha ..swali je huyo mume angefufuka na kuona kilivmcho tokea ange pendezwa