Mwanaye amesema kuwa mzee ana maeneo mengi. Hilo alilotoa sadaka ni mojawapo tu. Hakuna tatizo hapo.
Dunia ni urithi mkuu wangu bila urithi mambo ni magumuM
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.
Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe
Mzee yupo sahihi kabisa.
min -me
secretarybird
Monetary doctor
Kwani mimi ni mzazi wake?Kwahyo naww ungekufa kabla yke angetakiwa nae agombee mali zako na familia yko?
Mwenye mali ameamua.maeneo mengi ila hayapo kariakoo,, maeneo mengii mtwara huko mashambani yana faida gani? ndio maana hata mtoto amesema kwamba watoto walipinga ila mzee ndio kaamua
Hali ni bado ni mbaya, adui ujinga amezidi kukita miziziMwalimu alisema maadui wakuu wa Watanzania ni Ujinga, Umaskini na Maradhi...
Mmeshamuua adui gani ndugu zangu?
Mpaka kwa wajukuu wake. Yaani aache mali ambayo itatumiwa na watoto wake na itadumu mpaka wajukuu wake waifaidiurithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Hata hao wanaopokea hilo eneo wanatakiwa wawe na busara na waangalie kama familia ina uhitaji au Haina. Haiwezekani familia wawe na uhitaji, wewe upokee hiyo sadaka.Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila dhuruti.
Na watoto wakideka nani wa kumlaumu.Wapo wengi waliodekezwa wazazi wakifa wanapata taabu kweli kweli
Kwani mimi ni mzazi wake?
Ninachokijua ni kwamba Cha mzazi ni cha mtoto lakini Cha mtoto si Cha mzazi. Kama hujui hilo basi tambua kuwa wewe ndiye unayetakiwa kumwandalia mtoto wako maisha mazuri ili baadya aweze kukutunza kwa hiari yake.
Waafrika sijui Wana undongo kwenye akili!
Mali za kwake mnapangia cha kufanya?vonaUkiwa mfia dini ni lazima uwe na matatizo ya akili
Mzee mmoja namfahamu.Na watoto wakideka nani wa kumlaumu.
Mtoto au mzazi?
Ila mkuu hao wa pwani unaowazungimzia kumbuka wamelewa hivyo na wazazi wao ambapo hapo bado lawama zinaenda kwa wazazi.Mkuu kwa kweli leo Ile heshima ndogo ambayo nilikua nakupa nimeiondoa KABISA KABISA.
wewe ni ovyo kabisa nakupa a case study ikusaidie SIKU ZOTEEE WEKEZA KUWAJENGA NA KUWAWEZESHA WATOTO WAKO WAWEZE KUJITEGEMEA PERIOD!
Binafsi kwetu mzee wangu alimjengea kila mtoto wake nyumba hati na kila kitu ni kwa jina la mtoto Ila mpaka Sasa na utu wangu huu uzima Bado mzee ndie anae chukua Kodi na Wala sijawai/ hatujawai kuwazia urithi wa izo nyumba.
NB. Tatizo la ELIMU duni na uswahili ipo Sana mikoa ya pwani mtu anangojea mzee wake afariki ndipo waanze kuuza mali na kugawana kama machizi
KAMA NI RAHISI TAFUTA MALI ZAKO MWENYEWE SIO KUTOLEA MACHO URITHI THEN UNAENDA KULEWA NA KUNYWA POMBE NA KUVUTA BANGE
Mzee hii sio sawa, hii ni roho ya ubinfsi
secretarybird nimeshasema Kuna maeneo nikifika sheria naiweka kando, nafanya Yale niyaonayo yako sahihi maana sheria ina uwongo mwingi ndiyo maana haiko uniform Dunia nzima (zimetungwa kwa maslahi ya baadhi ya watu).Kila mtu mzima mwenye mali, hiyo ni mali yake. Mali ya mzazi sio ya mtoto iwapo mwenyewe akiwa hai. Anayo haki ya kupanga matumizi ya mali hiyo kwa mujibu wa sheria za nchi na za dining yake. Kwahiyo, mtu anayetaka kumpinga inabidi atumie vifungu vya sheria hizo katika kumpinga.
Mbona mtoto kasema watoto wameshapewa sehemu zao? Tena amefafanua kabisa kuwa kwa mujibu wa dini, huwezi kutoa wakfu huku hujawapa watoto urithi wao? Hamsikilizi video mnakimbilia kutoa povu tu?Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila dhuruti.
Rudia kuangalia kuanzia 4:38 mpaka 4:59imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Tuko pamoja hapo mkuu.Mzee mmoja namfahamu.
Ana watoto zaidi ya 20. Alishawahi kupata pesa zimeisha. Kati ya watt wote 20 na anawadekeza wawili ili kumuwin mama yao. Wengine waliobaki wanapewa mahitaji muhimu tu
Wa kuaumiwa wazazi
Mbona mtoto kasema watoto wameshapewa sehemu zao? Tena amefafanua kabisa kuwa kwa mujibu wa dini, huwezi kutoa wakfu huku hujawapa watoto urithi wao? Hamsikilizi video mnakimbilia kutoa povu tu?