Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Mbona mtoto kasema watoto wameshapewa sehemu zao? Tena amefafanua kabisa kuwa kwa mujibu wa dini, huwezi kutoa wakfu huku hujawapa watoto urithi wao? Hamsikilizi video mnakimbilia kutoa povu tu?
Upumbavu... yote ya mzazi ni urithi wa watoto.
 
Waende tu mahakamani wakapambane na mzee wao
Maana uridhi ni haki ya mtoto ata km mtoto huyo anajitegemea
 
anaweza akawa sahihi kutokana na kiwango cha akili yake plus kuwa brainwashed na baadhi ya factors ila kama watoto anao na hawana mbele wala nyuma aliwazaa wanini? yaani uzae mitoto kibao uiadabishe kwa kula kuona Loh mzee balaa sana huyo.
 
Dunia ni urithi mkuu wangu bila urithi mambo ni magumu
Ni sahihi kurithi mali Ila ukililea litoto KIJINGA KIJINGA mwisho wa siku linakua LIJINGA.

Ukiwa na liloto linalo waza mali za urithi niamini Mimi anaweza kukuwekea sumu then wauze mali waanze kutanua mwisho wa siku urithi ukiisha na yeye ameisha.

Binafsi Kuna matoto majinga Sana naona mzee kaona mbali Sanaa kutoa eneo lake kua mali ya msikiti mzee yupo sahihi.

Hata kina bill gates kaweka mali ZAKE AKIFA ziende kwenye bill gates foundation je? angeamua kuwapa zoteee familia au ukoo wake wotee akagundua atatengeneza uzao wa ovyoo
 
video zipo nyingi, jamiiforums ina limit ya ukubwa wa video ku upload,,, mzee kawapa ardhi maeneo yasiyo na faida, ila yenye faida ya kariakoo ndio kaitoa sadaka
Wamesema kwa sheria za kiislamu hio inaruhusiwa
 
tuanzie hapa kwanza kabila gani? tusije kuwa tunapoteza muda
dini zimetufanya kuwa mazezeta
 
Mzee kama huyu ni wakunyongwa hadi kufa hadharani ili iwe funzo Kwa wazee wengine malaya wanaozaa watoto kama njugu halafu hawako tayari kuwahudumia.
 
Hata hao wanaopokea hilo eneo wanatakiwa wawe na busara na waangalie kama familia ina uhitaji au Haina. Haiwezekani familia wawe na uhitaji, wewe upokee hiyo sadaka.
Huyo mzee ni mpumbavu moja kwa moja si atoe hela bila ya kutoa viwanja au fixed asset ....ni hatari sana kutoa sadaka ya fixed asset au ya fedha itokanayo na fixed asset...zipo njia bora za kutoa sadaka bila ya kuleta mafarakano ndani ya familia ...ni bora kutumia njia za amani hapo anakwenda kuipasua familia vipande na kuzalisha uadui hata baada ya yeye kufa kutakuwa na vita vya chuki ...hao watoto wanao muunga mkono wata pambana na wale wanaopinga ...nibora kuacha amani ndani ya familia kuliko mambo ya sadaka ...kwenye biblia yesu alisema ...👉ukiwa na neno juu ya mtu na ulikuwa unaenda kutoa sadaka basi ni bora ukaacha sadaka na kwenda kupatana naye kisha ndiyo utoe sadaka yako ...sadaka za mafarakano hazina heri yoyote
 
Kisheria mali ni ya mzee, kuna mtoto anamtegemea? Ila sijui watoto walimkosea nini! Watafute tu wazee wa busara na hekima wamshauri baba yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…