Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Bakhresa hana akili za hivi akili matope kabisa hizo ulizoziandika, kwamba ni kufanya nini matoto majinga majinga si uliyazaa mwenyewe yalikutuma uyazae? Mzazi wa ovyo sana wewe na inaonekana utatesa sana watoto wako kisa uliwazaa ili waingie kwenye mfuko wa condom sio kwenye mfuko wa mimba
 
Mzee yuko sawa tu mitoto mingine ni mipumbavu hakuna mfano, utii kwa wazazi ni sifuri na mingine hufikia hatua ya kuua wazazi irithi mali mwisho wa siku yenyewe kwa yenyewe huuana. Huyo mzee yuko sahihi tu kama nyie ni ile mitoto ya ovyo
 

Lakini kama nimesikia vizuri huyo mzee anayo maeneo mengine mengi ya kuweza kuwarithisha wanawe.hilo siyo eneo lake pekee.
 
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?
Kwani tulikuomba utuzae?

Kiherehere chako cha kuzaa uonekane rijali, sasa beba majukumu uwalee watoto wako mpaka wazeeke kisha wote muende mbinguni kwa pamoja ukiwa umetimiza wajibu wako kikamilifu.

Au nasema uongo secretarybird ??
 
Kwa watoto wapumbavu naweka wakfu hadi vijiko kudadadeki.Tafuteni za kwenu *****
 
Kama umesikia vizuri, mzee alirithi. Na ukirithi, huruhusiwi kuuza au kugawa bali kurithisha tu.
Matoto majinga majinga si ya kuyarithishaa chochote mzee yupo sawa kabisa

hao watoto unakuta hawajishughurishi na chochote zaidi ya kulewa na kufanya uzinzi na kuvuta bange huku wanasubiri mzee afariki then wauze mali.

Mzee kafanya vyema kutoa mali kwa msikiti iwe faida kwa vizazi na vizazi kwa ajili ya ALLAH.
 
watu weusi wote akili zetu mgando ila tumepishana madaraja. kuna wenyewe za hovyo zaidi. kuna baadhi ya jamii hujifaharisha kwa umaskini na kuona ni kama suala la fahari.
 
Kama yeye ndo kaamua hivyo sawa, watapewa maeneo mengine ya Mzee wao.
 
Mpaka kwa wajukuu wake. Yaani aache mali ambayo itatumiwa na watoto wake na itadumu mpaka wajukuu wake waifaidi
Mkuu sajo nje ya mada ila inafanana. Naomba nikupe maelezo na wewe unipe maoni yako. Mzee Babu na mkewe wamejenga nyumba ya vyumba sita na kufariki bila kuandika urithi. Marehemu Mzee Babu kaacha watoto watatu, John, James na Jane ambao ni watu wazima. Kodi ya ile nyumba aliyoacha mzee wao, wakawa wanagana sawa kwa sawa japo John yeye alisema ataishi kwenye vyumba viwili (vilivyomo kwenye ile nyumba) hivyo asipewe kodi. Baada ya miaka kadhaa, hao watoto watatu nao wakafariki wakiacha nyuma familia zao, na ile nyumba iko pale pale. John akaacha mke na watoto (ambao bado wanakaa kwenye vile vyumba viwili), James akaacha mke na watoto na Jane naye akaacha mume na watoto. Kwa hiyo wamebakia wajukuu wa Mzee Babu. Sasa wajukuu wakaamua kuuza ile nyumba. Fedha zitagawanywaje mahakamani? Mahakama itahesabu ''vichwa vya wale watoto watatu wa mzee Babu tu na kugawa mafungu matatu au itakuwaje? Iwapo mjane wa John ambae anaakaa kwenye vile viwili akisema yeye hana pa kwenda na hataki nyumba iuzwe, mahakama itamsikiliza? (Hii ni kesi ya kweli nilikutana nayo mahakamani mwaka juzi ila sikujui iliishaje)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…