Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
- Thread starter
-
- #81
Sisi wote ni wa Afrika, bara moja...Warundi wangeweza kuwa Watanzania kama walioweka mipaka wangeamuaKashindwa wewe,kata zipo 19 na wewe unakuja na kata moja tu.Sema Kirumbe Shabani katoa rushwa na kuna kura zimekamatwa zikiwa zimepiga vema kwa Kirumbe. Ila watanzania wenye asili ya Burundi ni balaa.
Na hivi matokeo ya rusimbi yametoka kirumbe anaongoza na sovu wa pili baba levo wa tatuBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Nilitaka kumpigia chapuo kikeke wale wazee wa kichaga wametu let down moshi vijijini kwa mda mrefu sana.. ni wakati wa outsider, na kikeke ni mtu sahihiNa Kikeke kashinda Moshi vijijini
Baruani watamnyakua hapoBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Mwijaku hana akiliNa mwijaku wangempa
Uchawa Hauna usomiTuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Siyo kweli boss ni vituo vingi udiwani ndio kituonkimojaKura za maoni za wajumbe wa ccm huwa zinapigwa kwenye kituo kimoja ti
Mambo yapi?Ila hii nchi ishakua na mambo ya kinanii sana...🤨
DU!Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?acha ujinga basiTuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Na angetoboa mama yako je bunge lingekuwa la aina gani?Kama hakitoboa huyu basi bunge litakuwa la ovyo kuwahi kutokea tangu uhuru wa Tanganyika!
Udhaifu ule ule wa kudhania kwamba vyeti ndio kila kitu. Waliompokea Mwalimu Nyerere na kuwa nae bega kwa bega mpaka akaingia ikulu ni wazaramo wa Dar wengi darasa la saba hawakufika.Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Kura zilizowekwa hapa ni za kata moja pekee ndiyo Baba Levo anaongoza.Hongera zake. Kijinga jinga anakuwa mbunge
Chawa ni chawa tu hasafishiki - hana kitu kichwani bali anafikiri kwa kutumia TUMBO ale ashibe aende haja thats all.Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?acha ujinga basi
Hahaha tupo kizazi cha giza. Yaani unamuacha msomi Advicate Basila Moses unamchagua Baba Levo! Hahaha unamuacha Dkt kabisa unachagua Baba Levo ambaye hata uwaziri hawezi pewaBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Huyu ndugu yetu ni kabila gani?Na Kikeke kashinda Moshi vijijini
Okay. Basi mleta mada aache kupotoshaKura zilizowekwa hapa ni za kata moja pekee ndiyo Baba Levo anaongoza.
Bado kata 18 ambako wagombea wengine wanaongoza kulingana na ngome zao.
Hivyo kusema baba Levo ameshinda kwa kura za kata moja pekee ni upotoshaji kwasasa.