Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Duh.
 
Wamemuuwa polisi wenzake kwenye ili kupindisha kesi, safari hii jamuhuri isifanye uzembe wa Kama kesi ya zombe ambapo kwa kujua kesi itakavyokuwa walimtorosha SADI aliyeamuliwakupiga risasi wafanyabiashara na kupora pesa, Askari aliyetubu na kueleza ukweli aliuwawa kabla ya ushaidi wake kupokelewa Kama kizibiti. So walipunguza nguvu ya mashaidi. Ndicho walichofanya hawa polisi wa kihuni, halafu polisi wanamdharau Sana mama, mbona yule baba aliyefariki masika mwaka Jana hawakumchezeachezea figisu, dharau mama wamezidi ukiwaachia waendelee kuuwa uwa raia wema, iko siku watajaribisha kwenu viongozi, oooh nyie wachekeeni
 
Yaani anaomba anayemtuhumu kuwa alimtuma kuua, kuunda kamati ya uchunguzi?!
Nyepesi nasikia, hao hao wakubwa wa juu walipoenda huko Mtwara kuwahoji askari walohusika, aliyejinyonga alisimamia ukweli kuhusu kila kitu kilichotokea. Nasikia walimwijia juu, na kumtisha saana. Askari huyo baada ya kutoka kuhojiwa alieleza kwao nyumbani kilichojiri kwamba katishwa saaana.

Japo baadae alipiga simu na kumwambia mama yake mambo si mabaya, na baada ya hapo wakapewa taarifa kajinyonga. Hili swala Rais aingilie kati tu, kama Kikwete alivyofanya na kuunda tume huru kwenye sakata lile la Zombe. Huyu Mkuu wetu wa jeshi la Polisi hakuna kitu.
 
Akomae nao ukweli utajulikana tuu!
 
Damu yako isinyamaze mpaka ijipatie kisasi kwa wale wote waliotoa uhai wako😭
 
From my heart. Sipendi kabisa polisi. Sipendi kabisa magereza wanatamaa saaaana. Naishia hapo. Wanadhiki kama hawana ridhki. Siwapendi mno.

Haswa hao polisi wa mtwara, lindi, na masasi. Sijui nitukane vipi. Daaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…