mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
wakiuana si ndo vizuri.
Haya ndio matokeo ya kulindana.
Walianza kwa Hamza wakampa cheo Cha ugaidi.
Tukio lile lile la Hamza limekuja kutokea Tena.
Chanzo ni DHULMA.
Haya ndio matokeo ya kulindana.
Walianza kwa Hamza wakampa cheo Cha ugaidi.
Tukio lile lile la Hamza limekuja kutokea Tena.
Chanzo ni DHULMA.
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibikaHuyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi ,uhuni umerudi tena serikalini mama ana angaika na mambo ya kipumbaavu vya machifu na kuvaa ngozi ,wakati nchini mambo yanaharibika