Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Na kwanza tambara la deki lina urefu wa kutengeneza sehemu ya kuingizia shingo na kutosha kuninginiza?wajuzi nisaidieni.Vipi alikuwa sero pekee yake

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Haya maswali tuwabane polisi hadi wajibu, haiwezekani watu wanauawa tu kiajabu ajabu halafu tukachekeana, tusipowajibishana haya mauaji yataendelea, polisi wabanwe waseme ukweli, nani kamuua huyu jamaa?!
 
Kwa ushahidi wa mazingira kabisa wenzake wamemuua, tambarara la deki ni nguo chakavu isiyo na uimara wa kunining'iza hata kilo 20, sembuse mwili wa kilo 70.
Jaji awape kesi mbili za mauaji, moja ya kuuwa mfanyabiashara na nyingine ya kuuwa jambazi mwenzao.
 
Yaani mtu anakutuma kwenda kumuua mtu asiye na hatia na ww unaenda!!!!!
Hata kama mtu ni boss wako ndio akupe tu maagizo ya kipumbavu na ww unatii hata bila kufikiria mara mbili?!!!
Vilaza
Ukiwa huko ndan ya system akili yako yako ya kufikiri Mara mbilimbili inakua kando huko ni amri na kutekeleza tu
 
Taarifa mvurugano kiasi cha fedha hawa 70M huku 33.7M, mahabusu tambala la kudekia lenye uwezo wa kumyonga mtu, na watuhumiwa wengine wakishuhudia kama movie vile, Jeshi la Polisi kutaka kumtelekeza marehemu bila kupewa heshima ya mwisho, haya majeshi sijui yanaenda wapi!!! Mrakibu Msaidizi kushughulika moja kwa moja na mtuhumiwa hadi escort Jeshi halina askari!!!
 
JFK rais wa America alivyopigwa risasi muuwaji naye kapigwa risasi kuficha Siri
Unatumwa ukaue then unajua nawe utauwawa kuficha siri.
Kosa la jiwe ni kutowauwa aliowatuma kuuwa watu leo tumewajua wasiojulikana mahakamani.
 
Unadhani unavyotumwa utaambiwa hana hatia, si wanakwambia tu huyo ni jambazi sugu la kutumia silaha. Na wewe utaenda kuua kwa confidence ukidhani ni jambazi kweli
Hawa maaskari hawa zeroes kabisaa!!!hawajielewi yana roho mbaya acha yafe
 
Back
Top Bottom