Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunatofauti baina ya HUHUNI NA UZALENDO kuua siyo tatizo bali uliua kwa sababu ganiKwani lini uliwahi kuisha?? Uhuni waliofanya kina sabaya na makonda unatofauti gani na huu?? Nyie wasukuma msijitoe fahamu!
Marehemu ndo fala,, alitakiwa at least ajirekodi na kuwakabidhi ndugu flash kama insurance endapo lolote litamfika,,, kisha copy ya flash angewapa anaohisi wanamwingiza mkenge na kuwambia endapo kitamfika kitu, habari itaenda public.Utakuwa mchawi.Baba ana haki ya kujuwa ukweli kuhusu kifo cha mwanae
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nyie ndo enzi zile mlikuwa mnasema ,'heri ufe wewe, Tanzania isonge,, ukitukwamisha, utakwama wewe"[emoji848]Kunatofauti baina ya HUHUNI NA UZALENDO kuua siyo tatizo bali uliua kwa sababu gani
Na kwanza tambara la deki lina urefu wa kutengeneza sehemu ya kuingizia shingo na kutosha kuninginiza?wajuzi nisaidieni.Vipi alikuwa sero pekee yakeHivi tambala la deki selo kweli?! Mbona haiingii akilini kabisa?!
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]
Ndio, tambara hili hili la deki MTU ajinyonge? Hats Mimi ningeshituka. Kwa kawaida tambala la deki unalichukulia kama kipande tu cha nguo ambacho kimekwisha kwisha. Leo kiwe na urefu na uimara wa kumninginiza MTU, tens Askari, mpaka akafa! Na mahabusu wenzake wakiwa wapi! Yaani hawamuoni anafunga hill tambara sijui dirishani halafu anajifunga mwenyewe shingoni Kish's anajinyonga wao wanamuangalia tu! Hats Mimi ningeshituka!Akomae nao ukweli utajulikana tuu!
Wamemuuwa polisi wenzake kwenye ili kupindisha kesi, safari hii jamuhuri isifanye uzembe wa Kama kesi ya zombe ambapo kwa kujua kesi itakavyokuwa walimtorosha SADI aliyeamuliwakupiga risasi wafanyabiashara na kupora pesa...
Niambie home boyBaba home boy mtoto PGO, Mie nimechoka Kwa kweli! Wacha inyeshe.....
Polisi wote majambazi tu including marehemu mwanaeUtakuwa mchawi. Baba ana haki ya kujua ukweli kuhusu kifo cha mwanae
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Jeshini order aijadiliwi...Kama alitumwa kuuwa na akakubali huo ni upumbavu wake.
Kwani angegoma angefukuzwa Kazi?
Alikuwa anaanza kuropoka nini? Kama Luna ulichosikia kidogo, hebu tumegee mkuu...Binafsi nihudhuria Msibani mpaka mwuli unaagwa kuelekea Iringa, Nilishuhudia Afsa mmoja wa polisi Mtu mzima 45+ Alikua kwa uchungu na akaanza kuropoka mpaka wenzake wanamfata na kumwondoa haraka... Uchunguzi huru unahitajika
Ngoja nikuulize swali,umepewa amri ya kuuwa ukikataa si utakuwa ushajuwa siri ya huyo bosi wako.Unafikiri atakuacha ili utoe siri?Ni hadi uwe na akili za kuambiwa unajiongeza, alikuwa na interest thus akaua.
So baba akubali tu damu uenda na damu hii ni kanuni ya asili
Wasiojulikana ndo nyie?Kunatofauti baina ya HUHUNI NA UZALENDO kuua siyo tatizo bali uliua kwa sababu gani
mbona issue ya hamza ilikuwa wazi kabisaHata mm sijaridhishwa. Na hii inanipa hisia za kuamini kwamba Hamza hakuwa gaidi.
Swadakta uzalendo kwanzaNyie ndo enzi zile mlikuwa mnasema ,'heri ufe wewe, Tanzania isonge,, ukitukwamisha, utakwama wewe"[emoji848]
Wewe ujui umuhimu wa raisi .....au kazi ya raisi ni zipi kufanya matamasha na mambo ya uchifu kutambika na kuvaa ngozi ,au kupaka karolite ,acha upumbavu magufuli ni kielelezo za kazi za raisi ,raisi akijua kazi yake hata rushwa upungua ufisadi upungua,ujumbazi, upungua na nk ,Kwan iyo ndo kaz ya Raisi mnaishi ktk ulimwengu wa jiwe dikteta sasa mnataka kla mtu aendeshe nchi kidikteta
Kla mtu akae kwenye kitengo chake na apiganie maslai ya taifa
Uuwaji akiuliwa na yy kwan ttzo lko wap
What goes around comes around
Mkuu wa wasio julikana yupo msoga
Kwamba anajinyonga halafu wenzake wanaangalia tu?! Hii haiwezekani, waliomuua wawajibishwe!!Matambala ya deki yote yamechoka iweje lisikatike kwa uzito wa binaadam? Pili huko selo alikuwa mwenyewe?