Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Ukizoea Kula nyama ya mtu huwez acha hata kidgo, polisi wamezoea kuua raia wasiokuwa Na hatia kwa kisingizio ni majambazi,

Hongeren Sana wananchi kwa kuishikilia hii issue nataman vyombo vingine vya habar vingekuwa hivi hakika tungekuwa Salama Sana.
 
From my heart. Sipendi kabisa polisi. Sipendi kabisa magereza wanatamaa saaaana. Naishia hapo. Wanadhiki kama hawana ridhki.
Siwapendi mno.
Haswa hao polisi wa mtwara, lindi, na masasi. Sijui nitukane vipi. Daaah.
Wala haina haja ya kuwatukana.
Ukitaka Karma iwashughulikie, just wasamehe kisha agiza popcorn za soya seat back and watch the show.
Mmoja baada ya mwingine lazima alambe garasa
 
Na mle jela kusubiria kunyongwa tu ni adhabu tosha maana ujui ni lini maana mateso kisaikolojia ni zaidi ya maumivu ya kunyongwa.
Sema unapata mda mwingi sana wa kuongea na Mola wako ukimuomba toba akusamehe makosa yako.
 
Ukiangalia ilee klip ya RPC alivyokua anatoa Ile taarifa usoni utaona alikua na wakati mgumu sana. Kuna kitu anakijua lkn hawezi kukisema.
Kweli kabisa mkuu, blah blah nyingii!

Halafu suala likichukua sura ya kitaifa, pale angelijiweka pembeni kutia utetezi wake mbuzi!

Halafu kile kiwango cha pesa wanazidi tu kukishusha jamani.

Huyu akiachwa aendelee na wadhifa wake bila ya kuchukuliwa hatua yoyote, waalah nitaiona serikali ya awamu ya6 imeoza yote na nitakosa imani na kiongozi yeyote wa serikali.
 
Ioze mara ngapi?
 
Back
Top Bottom