Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

WAKATI ANAJIUA HUYO POLICE ALIKUWA PEKE YAKE? HAO WATUHUMIWA WENZAKE WALIKUWA WAPI KWA NINI WASIRIPOT KUWA KUNA MTU ANATAKA KUJIUA JAMAN?
 
Kwani lini uliwahi kuisha?? Uhuni waliofanya kina sabaya na makonda unatofauti gani na huu?? Nyie wasukuma msijitoe fahamu!
Kunatofauti baina ya HUHUNI NA UZALENDO kuua siyo tatizo bali uliua kwa sababu gani
 
Utakuwa mchawi.Baba ana haki ya kujuwa ukweli kuhusu kifo cha mwanae

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Marehemu ndo fala,, alitakiwa at least ajirekodi na kuwakabidhi ndugu flash kama insurance endapo lolote litamfika,,, kisha copy ya flash angewapa anaohisi wanamwingiza mkenge na kuwambia endapo kitamfika kitu, habari itaenda public.

Hii ni kama kweli alishinikizwa kwenye huo mchongo
 
Kunatofauti baina ya HUHUNI NA UZALENDO kuua siyo tatizo bali uliua kwa sababu gani
Nyie ndo enzi zile mlikuwa mnasema ,'heri ufe wewe, Tanzania isonge,, ukitukwamisha, utakwama wewe"[emoji848]
 
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]

Kwan iyo ndo kaz ya Raisi mnaishi ktk ulimwengu wa jiwe dikteta sasa mnataka kla mtu aendeshe nchi kidikteta.

Kila mtu akae kwenye kitengo chake na apiganie maslai ya taifa.

Uuwaji akiuliwa na yy kwan ttzo lko wapi.

What goes around comes around
 
Akomae nao ukweli utajulikana tuu!
Ndio, tambara hili hili la deki MTU ajinyonge? Hats Mimi ningeshituka. Kwa kawaida tambala la deki unalichukulia kama kipande tu cha nguo ambacho kimekwisha kwisha. Leo kiwe na urefu na uimara wa kumninginiza MTU, tens Askari, mpaka akafa! Na mahabusu wenzake wakiwa wapi! Yaani hawamuoni anafunga hill tambara sijui dirishani halafu anajifunga mwenyewe shingoni Kish's anajinyonga wao wanamuangalia tu! Hats Mimi ningeshituka!
 
kwanini naye marehemu akubali kwenda kuua raia asiye na hatia....yaani mabosi wanakutuma kuua nawewe unakwenda....
 
Wamemuuwa polisi wenzake kwenye ili kupindisha kesi, safari hii jamuhuri isifanye uzembe wa Kama kesi ya zombe ambapo kwa kujua kesi itakavyokuwa walimtorosha SADI aliyeamuliwakupiga risasi wafanyabiashara na kupora pesa...

yule mwamba alikuwa hajambishwi kifalafala...ukibeep unapigiwa faster, muito wa simu utasikika nchi nzima.... .. Polisi kama hao huhitaki sheria, wazee wa kazi wanawachukua wazima wazima funga mijiwe kwenye viroba tupa dip sea huko mifugo ishibe....hiyo ndio adhabu yao halafu uone kama kuna atakayeleta ujinga tena..
 
Binafsi nihudhuria Msibani mpaka mwuli unaagwa kuelekea Iringa, Nilishuhudia Afsa mmoja wa polisi Mtu mzima 45+ Alikua kwa uchungu na akaanza kuropoka mpaka wenzake wanamfata na kumwondoa haraka... Uchunguzi huru unahitajika
Alikuwa anaanza kuropoka nini? Kama Luna ulichosikia kidogo, hebu tumegee mkuu...
 
Kwan iyo ndo kaz ya Raisi mnaishi ktk ulimwengu wa jiwe dikteta sasa mnataka kla mtu aendeshe nchi kidikteta
Kla mtu akae kwenye kitengo chake na apiganie maslai ya taifa
Uuwaji akiuliwa na yy kwan ttzo lko wap
What goes around comes around
Wewe ujui umuhimu wa raisi .....au kazi ya raisi ni zipi kufanya matamasha na mambo ya uchifu kutambika na kuvaa ngozi ,au kupaka karolite ,acha upumbavu magufuli ni kielelezo za kazi za raisi ,raisi akijua kazi yake hata rushwa upungua ufisadi upungua,ujumbazi, upungua na nk ,
 
Back
Top Bottom