Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Unajua madhara ya kugoma ww?,unadhani Polisi ni shule au chuo?
So ukitumwa kamuue mama yako mzazi au kaibe bank utaenda kisa umetumwa na Mkubwa,ndo maana inatakiwa form failure Ili uajiriwe.Wasomi wanaogopwa watareasoning haya sasa waende wakamwambie jaji tulitumwa.
Na police washatoa tangazo la kuwakana.
 
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!

Damn! he's right...

Zaidi hapo angesisitiza na Sirro aachie ngazi...
 
So ukitumwa kamuue mama yako mzazi au kaibe bank utaenda kisa umetumwa na Mkubwa,ndo maana inatakiwa form failure Ili uajiriwe.Wasomi wanaogopwa watareasoning haya sasa waende wakamwambie jaji tulitumwa.
Na police washatoa tangazo la kuwakana.
Muda wa kureason utaupata wapi ww,elewa kuwa hakuna sehemu yenye nidhamu ya hali ya juu kama kwenye taasisi hizi za ulinzi na usalama,nidhamu ndio msingi MKUU wa taasisi na nidhamu ina mambo mengi mno.
 
Utii kwenye haki na sio kwenye dhuluma.
 
Wenye ndugu police wapeni wosia watende haki wasipotenda watakuleteeni misiba kama familia
 
Utii kwenye haki na sio kwenye dhuluma.
Ni kweli kabisa wengi wao wametoka familia duni kitendo cha kugoma kina mawili labda ufukuzwe na kufungwa pia au wakupoteze mazima,je kuna mtu anataka kitu kama hicho kimtokee?,inabidi atii tu maagizo na kutekeleza toka kwa wakubwa wake
 
Kwann asiripoti kwa wakubwa zaidi.
ukiua jambazi,mwizi mchawi hakuna laana yeyote itakayokupata hata ukoo wake wote wadhikiri uchi na sio raia asohatia tena kwa dhuluma.
Damu ya mchawi, mwizi jambazi hazina password huwezi laanika ukizimwaga.
 
Chief hizi Kazi ni ya kujiongeza maana jumba bovu linakuangukia mwenyewe.
 
Kwann asiripoti kwa wakubwa zaidi.
ukiua jambazi,mwizi mchawi hakuna laana yeyote itakayokupata hata ukoo wake wote wadhikiri uchi na sio raia asohatia tena kwa dhuluma.
Damu ya mchawi, mwizi jambazi hazina password huwezi laanika ukizimwaga.
Unaweza ukaripoti kwa wakubwa na mkubwa wako akajua sijui utakuwa kwenye kundi gani kwani na wao wana connection kubwa sana uko juu na ndio maana ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa pale na zaidi pia AKILI ZA KUAMBIWA.......
 
Aingii akilin aliyepeleka kuramba cha kupiga deli celo mahabusu mtwara mpaka huyo afsa wa polisi kujinyonga Nani ? Na selo imeanza lini kupigwa deki
 
Mmm jamani dunia hii dunia Ina mambo mengi ya ajabu. Askari polisi walio wengi wanatumia mavazi yao kunyanyasa wananchi. Visa Ni vingi mno, sema vingine vinaisha kimyakimya.
Hawa watu walitupora madini ya milioni 40 Itigi december 2020 tukawapa laki 4 watuachie madini wakachukua vyote pesa na madini baada ya kutushusha kwenye gari bila hata nauli. Kama upo Itigi ulishiriki kutudhulumu hizo mali mlizopata kwa jasho letu zitaputika zote kwa jina la Yesu, toshekeni na vipato vyenu na sio dhuluma.
 
Unaweza ukaripoti kwa wakubwa na mkubwa wako akajua sijui utakuwa kwenye kundi gani kwani na wao wana connection kubwa sana uko juu na ndio maana ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa pale na zaidi pia AKILI ZA KUAMBIWA.......
Penye haki utalindwa still bado sio final zipo mamlaka zinazoshughulika na uonevu wa viongozi.Kama imesimama kwenye haki unasikilizwa na haki yako hazipotei.
Nadhani wengi sababu ya kutokujua sheria za Kazi na haki zao kazini.
Unayo haki ya kugomea amri binafsi ya kiongozi wako kama Ina kiuka maadili.
 
Hivi kuna utofauti upi wa wakati wa Mahita na wakati wa Sirro? Mbona kama tumerudi nyuma sana. Mama SSH vunja Jeshi lote bakisha tu makamanda wachache wanaonekana kuwa na busara na weledi mfano rpc wa sasa wa Geita, Henry Mwaibambe.
 
Wewe ujui umuhimu wa raisi .....au kazi ya raisi ni zipi kufanya matamasha na mambo ya uchifu kutambika na kuvaa ngozi ,au kupaka karolite ,acha upumbavu magufuli ni kielelezo za kazi za raisi ,raisi akijua kazi yake hata rushwa upungua ufisadi upungua,ujumbazi, upungua na nk ,
Naona kagame anaijua kazi yake vzri
 
"Hakuna picha inayoonesha marehemu alijinyonga au ananing'inia, ukweli wake ndio uliomponza, marehemu alisema kwanini nihangaishwe wakati mimi nilitumwa? wakubwa wenyewe wapo, mimi nilikuwa ni mtekelezaji"
Gaitan Mahembe, baba mzazi wa Greyson Mahembe, askari anayedaiwa kujinyonga https://t.co/QyZRDHG7tF

Kupitia DarMpya Blog imeripotiwa kuwa baba mzazi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu akiwa ni miongoni mwa polisi waliokuwa wakishikiliwa Kwa kumuua mfanya biashara na kumpora milioni 70 amezua mapya. Mzee huyo anadai kifo Cha mwanaye kinatia mashaka mno na Kuna uwezekano mwanaye huyo aliuawa pale alipotaka kuwachoma wakubwa waliokuwa nyuma ya mauaji ya mfanyabiashara huyo
IMG-20220128-WA0042.jpg
IMG-20220128-WA0048.jpg
IMG-20220128-WA0043.jpg
IMG-20220128-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom