MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Unajua madhara ya kugoma ww?,unadhani Polisi ni shule au chuo?Kama alitumwa kuuwa na akakubali huo ni upumbavu wake.
Kwani angegoma angefukuzwa Kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua madhara ya kugoma ww?,unadhani Polisi ni shule au chuo?Kama alitumwa kuuwa na akakubali huo ni upumbavu wake.
Kwani angegoma angefukuzwa Kazi?
So ukitumwa kamuue mama yako mzazi au kaibe bank utaenda kisa umetumwa na Mkubwa,ndo maana inatakiwa form failure Ili uajiriwe.Wasomi wanaogopwa watareasoning haya sasa waende wakamwambie jaji tulitumwa.Unajua madhara ya kugoma ww?,unadhani Polisi ni shule au chuo?
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala!
Muda wa kureason utaupata wapi ww,elewa kuwa hakuna sehemu yenye nidhamu ya hali ya juu kama kwenye taasisi hizi za ulinzi na usalama,nidhamu ndio msingi MKUU wa taasisi na nidhamu ina mambo mengi mno.So ukitumwa kamuue mama yako mzazi au kaibe bank utaenda kisa umetumwa na Mkubwa,ndo maana inatakiwa form failure Ili uajiriwe.Wasomi wanaogopwa watareasoning haya sasa waende wakamwambie jaji tulitumwa.
Na police washatoa tangazo la kuwakana.
Utii kwenye haki na sio kwenye dhuluma.Muda wa kureason utaupata wapi ww,elewa kuwa hakuna sehemu yenye nidhamu ya hali ya juu kama kwenye taasisi hizi za ulinzi na usalama,nidhamu ndio msingi MKUU wa taasisi na nidhamu ina mambo mengi mno.
Ni kweli kabisa wengi wao wametoka familia duni kitendo cha kugoma kina mawili labda ufukuzwe na kufungwa pia au wakupoteze mazima,je kuna mtu anataka kitu kama hicho kimtokee?,inabidi atii tu maagizo na kutekeleza toka kwa wakubwa wakeUtii kwenye haki na sio kwenye dhuluma.
Kwann asiripoti kwa wakubwa zaidi.Ni kweli kabisa wengi wao wametoka familia duni kitendo cha kugoma kina mawili labda ufukuzwe na kufungwa pia au wakupoteze mazima,je kuna mtu anataka kitu kama hicho kimtokee?,inabidi atii tu maagizo na kutekeleza toka kwa wakubwa wake
Chief hizi Kazi ni ya kujiongeza maana jumba bovu linakuangukia mwenyewe.Ni kweli kabisa wengi wao wametoka familia duni kitendo cha kugoma kina mawili labda ufukuzwe na kufungwa pia au wakupoteze mazima,je kuna mtu anataka kitu kama hicho kimtokee?,inabidi atii tu maagizo na kutekeleza toka kwa wakubwa wake
Unaweza ukaripoti kwa wakubwa na mkubwa wako akajua sijui utakuwa kwenye kundi gani kwani na wao wana connection kubwa sana uko juu na ndio maana ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa pale na zaidi pia AKILI ZA KUAMBIWA.......Kwann asiripoti kwa wakubwa zaidi.
ukiua jambazi,mwizi mchawi hakuna laana yeyote itakayokupata hata ukoo wake wote wadhikiri uchi na sio raia asohatia tena kwa dhuluma.
Damu ya mchawi, mwizi jambazi hazina password huwezi laanika ukizimwaga.
Ni wazo zuri piaNi bora umkimbilie chui anaweza kukuonea huruma lakini siyo hawa Polisi CCM.
Hawa watu walitupora madini ya milioni 40 Itigi december 2020 tukawapa laki 4 watuachie madini wakachukua vyote pesa na madini baada ya kutushusha kwenye gari bila hata nauli. Kama upo Itigi ulishiriki kutudhulumu hizo mali mlizopata kwa jasho letu zitaputika zote kwa jina la Yesu, toshekeni na vipato vyenu na sio dhuluma.Mmm jamani dunia hii dunia Ina mambo mengi ya ajabu. Askari polisi walio wengi wanatumia mavazi yao kunyanyasa wananchi. Visa Ni vingi mno, sema vingine vinaisha kimyakimya.
Penye haki utalindwa still bado sio final zipo mamlaka zinazoshughulika na uonevu wa viongozi.Kama imesimama kwenye haki unasikilizwa na haki yako hazipotei.Unaweza ukaripoti kwa wakubwa na mkubwa wako akajua sijui utakuwa kwenye kundi gani kwani na wao wana connection kubwa sana uko juu na ndio maana ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa pale na zaidi pia AKILI ZA KUAMBIWA.......
Naona kagame anaijua kazi yake vzriWewe ujui umuhimu wa raisi .....au kazi ya raisi ni zipi kufanya matamasha na mambo ya uchifu kutambika na kuvaa ngozi ,au kupaka karolite ,acha upumbavu magufuli ni kielelezo za kazi za raisi ,raisi akijua kazi yake hata rushwa upungua ufisadi upungua,ujumbazi, upungua na nk ,