Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Nakumbuka hii ishu, machadema walitaka kutembelea nyota ya marehemu walidai eti ni mfuasi wao kapigwa!!! Kumbe maskini wa mungu ni mtumishi wa serikali tena DAKTARI.
Itakuwa alipigwa kweli kama inavyosemwa, kwanini police walikimbie na maiti huko mwananyamala.
 
Ona kubwa jinga hili! Kwa hiyo hakuna watumishi wa serikali ambao ni wafuasi wa Chadema?
Watu wengine unaweza kuta wala sio mfuasi wa hicho chama ila amepata hamu tu kusikiliza hiyo kesi kutokana na manjonjo ya akina Kibatara wanapofanya cross examination zao. Sasa polisi unapiga mtu mpaka unaua wakati maskini ya Mungu hana hata kiwembe mfukoni. Halafu sijui kwanini polisi wanachuki sana na wafuasi wa chadema kuliko hata majambazi.
 
Unajuaje kama hiyo ndo KARMA iliyolipwa..
Who knows
Inawezekana, ila uwezekano ni finyu sana kutokana na rejea ya mwenendo wake kutoka kwa watu wa karibu wa marehemu
 
Inawezekana, ila uwezekano ni finyu sana kutokana na rejea ya mwenendo wake kutoka kwa watu wa karibu wa marehemu
So u know...
How do u know....

Let the matter kept to rest.
 
Wewe ndio fala wa mwisho katika hili taifa. Hivi unadhani watumishi wote wanafurahia haya yanayoendelea nchini?
Wewe ndio miongoni mwa wale watu ambao ukiona mshahara wako unalipwa moja kwa moja toka hazina hata kama ni daraja la chini kabisa na una mfuko wa PSSF meno yako yote nje na unaanza kunenepa bila kuangalia madhala makubwa yanayofanyika juu yenu na wananchi wa kawaida na mihangaiko yao huku watumishi wa taasisi nyeti wakilipana mamilioni kwa mamilioni kwenye posho na mishahala.
Pathetic
Kwa hiyo kichaa Lissu atanilipa pesa kutoka wapi??
 
Pole kwa familia na Taifa kwa ujumla kwa kumpoteza Daktari kijana na nguvu kazi ya Taifa
 
Watu wanapita na upepo huo huo
Wanaotumua kile kikundi kisichojulikana

Ova
 

Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).

Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.

Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.

Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.

Chanzo: The Chanzo
HUYU KIJANA ALIKUWA TISS…sijui kosa lake nini
 
Kuna vitu inawezekana sijavielewa au taarifa nisizo zielewa
1. Dr angeumia angewataarifu wenzake. Kwanini simu ilikuwa off. POP angesisitiza lifungwe Muhimbili anakojua Madaktari wenzake. Polisi wameshindwa kujua mnara wa mwisho wa mawasiliano ya simu.
2. Kilwa Road ni Hospitali ya Polisi, hivi siku hizi inahifadhi miili ya Raia?
3. Hivi Jeshi la Polisi haliwezi kuchora ''sketch diagram'' inayoweza kutoa 'clue' kwa public. Kipanya anaweza
4. Maiti coco beach, taarifa Oysterbay polisi, hifadhi Kilwa road!!
Siku hizi police wamewekewa mortuary yao pale kilwa rd …hivi miili yote ambayo ina vifo vya utata ambayo ikienda mortuary za kiraha madakrari watahoji sababbu za vifo …huwa wanapeleka Kilwa na kama vipi wanazika kabisa kwa kigezo walitangaza ndugu hawakutokea
 
Back
Top Bottom