Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Juzi Juzi nilikua napiga story na Dactari mmoja akawa ananielezea dhana nzima ya "No reforms,No election" nili staajabu Sana kuona yule kijana Dactari aki toa ELIMU ya Hali ya juu.
Sikutegemea kuona Dactari kijana mtumishi wa umma akielezea "No reforms no ELECTION kwa kiwango Cha SGR uwezo mkubwa wa juu kiasi kile NIKAGUNDUA 99%% watanzania werevu ambao ndio MAJORITY wanapuuzwa na minority 1%

Apumzike kwa amani DAKTARI kijana MUNGU apokee roho yake mahali pema peponi.
Utakuwa ulichelewa sana kujua hilo kiongozi. Haki ya nani kabisa kama ni uchaguzi wa huru na haki kabisa CCM hata ikichuana na UDP achilia mbali CHADEMA lazima iangakie pua. Watu wanaoiunga mkono CCM ni wachache mno!
 
Kwani alitenda kosa gani hadi auwawe jamaniiii, damu za watu zinanena zitawakalia kichwani
 
Utakuwa ulichelewa sana kujua hilo kiongozi. Haki ya nani kabisa kama ni uchaguzi wa huru na haki kabisa CCM hata ikichuana na UDP achilia mbali CHADEMA lazima iangakie pua. Watu wanaoiunga mkono CCM ni wachache mno!
Mimi nilijua HAIWEZEKANI kumbe Kuna hata maaskari wanaunga mkono ""no reforms no ELECTION kisirisiri eg. Issues ya kikokotoo kwao ma askari ni kinawaumiza Sana na hata kada mbali mbali maana kwa simple logic ni vinawaumizaa
 
huyu alipigwa siku ya kesi ya Lisu na kupelekwa Mwananyamala, walipokuta kuna viongozi wa chadema wakakikmbia na marehemu ....ndiyo kapatikana sasa.......tetesi zinasema hivyo
Tlaatlaah na wenzako mnaofurahia matukio haya, mnagonga cheers wapi baada ya kusikia habari hizi..
 
Back
Top Bottom