Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).

Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.

Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.

Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.

Chanzo: The Chanzo
Hii sio fair hata kidogo. Kuua waue wao na kuzika wazike wao? Tutajuaje kama kweli ndiye yeye? Nchi hii ina laana sio bure!
 
Labda nikwambie kuna dhambi utahukumiwa mbinguni,lakini kuna dhambi itabidi uhukumiwe duniani na mbinguni,ni pamoja na kumwaga damu za watu wasiokuwa na hatia
hakuna haja ya ramli wala hukumu za kilofa na kushirikiana hivyo dhidi yangu, gentleman. Hiyo ni useless na completely nonsense kwangu 🐒
 
Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).

Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.

Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.

Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.

Chanzo: The Chanzo
Kwa hali hii bora tu watuue sote halafu watuzike wabaki peke yao watawale wanyama.
 
Kuna vitu inawezekana sijavielewa au taarifa nisizo zielewa
1. Dr angeumia angewataarifu wenzake. Kwanini simu ilikuwa off. POP angesisitiza lifungwe Muhimbili anakojua Madaktari wenzake. Polisi wameshindwa kujua mnara wa mwisho wa mawasiliano ya simu.
2. Kilwa Road ni Hospitali ya Polisi, hivi siku hizi inahifadhi miili ya Raia?
3. Hivi Jeshi la Polisi haliwezi kuchora ''sketch diagram'' inayoweza kutoa 'clue' kwa public. Kipanya anaweza
4. Maiti coco beach, taarifa Oysterbay polisi, hifadhi Kilwa road!!
Kwa kweli huu ni mtego. Siku tukipata rais mwingine haya makaburi lazima yafukuliwe tujue ukweli na roho zetu zipone. Yaani walimuua mtu ambaye angewasaidia hata wao kuwatibu
 
Inasikitisha sana
 
An academic oriented person kujihusisha na mchezo hatari, mchafu wa kipuuzi kama siasa ni kutokujipenda. You'll suffer and die alone for nothing.
 
Na usikute alikuwa hata hajafa wakammalizia kupoteza ushahidi. Yaani hakika kuna watu wana laana. Unajua umwagaji wa damu kitu kibaya sana
Nafurahi sana ninapoona mudawote amemgeukia mwenyezi Mungu. Kwa kweli hii hali imekithiri
 
An academic oriented person kujihusisha na mchezo hatari, mchafu wa kipuuzi kama siasa ni kutokujipenda. You'll suffer and die alone for nothing.
Mfano Dr Mwigulu ni accademic excellent person. Sasa kusema na kumlaumu elite person kwa mambo ambayo hajafanya ni kumuonea. Kwani amejiua?
 
huyu alipigwa siku ya kesi ya Lisu na kupelekwa Mwananyamala, walipokuta kuna viongozi wa chadema wakakikmbia na marehemu ....ndiyo kapatikana sasa.......tetesi zinasema hivyo
Inasikitisha Sana
 
Nafurahi sana ninapoona mudawote amemgeukia mwenyezi Mungu. Kwa kweli hii hali imekithiri
Unajua kipindi cha Dkt Magufuli tulijiona kama Mungu watu vile tukieneza propaganda na tuliona matukio ya kiharifu zidi ya binaadamu ni kawaida kama vile walistahili ila ukweli tumakuja kujua kuwa ukiwa kiongozi sikikiza watu unaowaongoza wanasema nini na je wanakufurahia kama kiongozi. Hata kama ufanye vitu gani vya maana ila kama kuna watu unawaumiza basi ujue kuna shida.
 
Kaka Mudawote nimelia machozi baada ya kusoma huu ujumbe wako.

Mwenyezi Mungu akulinde na kubariki uzao wako. Akuepushe na kukuosha mapungufu yako yoote. Nakumbuka sana kipindi kile.
 
Nakumbuka hii ishu, machadema walitaka kutembelea nyota ya marehemu walidai eti ni mfuasi wao kapigwa!!! Kumbe maskini wa mungu ni mtumishi wa serikali tena DAKTARI.
Wewe ndio fala wa mwisho katika hili taifa. Hivi unadhani watumishi wote wanafurahia haya yanayoendelea nchini?
Wewe ndio miongoni mwa wale watu ambao ukiona mshahara wako unalipwa moja kwa moja toka hazina hata kama ni daraja la chini kabisa na una mfuko wa PSSF meno yako yote nje na unaanza kunenepa bila kuangalia madhala makubwa yanayofanyika juu yenu na wananchi wa kawaida na mihangaiko yao huku watumishi wa taasisi nyeti wakilipana mamilioni kwa mamilioni kwenye posho na mishahala.
Pathetic
 
Unajua kipindi cha Dkt Magufuli tulijiona kama Mungu watu vile tukieneza propaganda na tuliona matukio ya kiharifu zidi ya binaadamu ni kawaida kama vile walistahili ila ukweli tumakuja kujua kuwa ukiwa kiongozi sikikiza watu unaowaongoza wanasema nini na je wanakufurahia kama kiongozi. Hata kama ufanye vitu gani vya maana ila kama kuna watu unawaumiza basi ujue kuna shida.
Kumbe hatimaye umeona mwanga sana na kujua zile kelele watu walizokuwa wanapiga ni hadaa bali waliumizwa?

Najua soon hapa wale kunguni wa mama watarudi na kujutia mapambio wanayompigia mama yao huyu.
 
Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).

Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.

Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.

Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.

Chanzo: The Chanzo
Dah ! Hii taarifa ndio nimeiona muda huu kule Instagram ,Dah nimeshtuka sana mazee ,huyu mwamba alikuwa genious kinona na alikuwa classmate wangu pale Tosamaganga High School Iringa class ya 2014 , sijui kisanga gani kimemkuta huyu kamanda aisee , Rest in peace Brother Hashim .
Miaka mingi sijamuona wala kuwasiliana na huyu jamaa
 
Mseng£ yoyote aliyehusika na kifo cha huyu jembe alaaaniwe yeye na ukoo wake na uzao wake mpaka kizazi cha saba
 
It pains , kijana mdogo hivi anakufa kifo kisichoeleweka , ukizingatia na ushenzi unaoendelea sasa hivi
 
Back
Top Bottom