Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

Hahahah ndio maana tunatukanwa na Capital city of Africa,Kenya
Watanzania tuko nyuma kutetea haki zetu, siku ccm wakiwa wapinzani ndio watapitia haya na wenyewe
Capital city ya Afrika gani!!? Hivi wewe umeshawahi kuishi Kibera na maeneo ya Nairobi!!?? Ama unaongea tu kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla!! Hakuna jiji chafu, la wezi, unyang'anyi wa mchana kweupe, kama Nairobi!!
 
Inaelezwa kuwa huyu ni yule aliyeuawa kwa kipigo cha polisi siku wananchi walipojitokeza kuhudhuria kesi ya Lissu siku ile polisi walipowafanyia fujo ya kutisha Wanachadema, kisha mwili ukapelekwa Mwananyamala hospitali, akina Lema na Boni Yai walipoenda hospitali kumtambua, polisi wakauchukua mwili fasta na kusepa nao ili wasiache ushahidi.
 

Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).

Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.

Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.

Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.

Chanzo: The Chanzo
tetesi ni kuwa huyu ndiye aliyepelekwa mwananyamala hospital na polisi na baadaye wakaondoka naye walipokuta watu wa chadema wamewaleta waliokuwa wameteswa bagamoyo. wakaondoka naye
 
Inaelezwa kuwa huyu ni yule aliyeuawa kwa kipigo cha polisi siku wananchi walipojitokeza kuhudhuria kesi ya Lissu, kisha mwili ukapelekwa Mwananyamala hospitali, akina Lema na Boni Yai walipoenda hospitali kumtambua, polisi wakauchukua mwili fasta na kusepa nao ili wasiache ushahidi.
Walimuua baada ya kwenda kushuhudia kesi ya Tundu Lissu pale Mahakamani Kisutu tarehe 24 April, 2025.

Wakazika kabisa kupoteza ushahidi.
 
Nakumbuka hii ishu, machadema walitaka kutembelea nyota ya marehemu walidai eti ni mfuasi wao kapigwa!!! Kumbe maskini wa mungu ni mtumishi wa serikali tena DAKTARI.
Kwani mtumishi wa serikali ni marufuku kuwa mfuasi wa Chadema?
 
huyu alipigwa siku ya kesi ya Lisu na kupelekwa Mwananyamala, walipokuta kuna viongozi wa chadema wakakikmbia na marehemu ....ndiyo kapatikana sasa.......tetesi zinasema hivyo
Duuh alafu Bi Chura na machawa hawataki kabisa watu waendelee kuzungumzia utekaji, utasaji na mauaji!
Eeh Mwenyezi MUNGU sikupangii lakini kuna watu huku wa kushughulika nao kabla ya October, 2025!
 
Back
Top Bottom