Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

Kitu kipi kibaya kimeongelewa na huyo balozi wa Palestine? Kueleza ukatilu na madhila wanayofanyiwa na wayahudi ni makosa?
 
Reactions: Tui
Wow at last umeamka mpaka unajua tunnels zilizopita kwenye makazi ya watu.Najua pia umeangalia so called videos ukapata ushahidi.At least unatetea hoja zako bila matusi.I respect that.
 
Mwili wa joshua umebaki palepale Kibbutz ...HAMAS hawahifadhi maiti za maadui zao.Bora awasiliane na serikali ya Israel wamweleze hiyo maiti waliizika wapi
Kwanini sasa inakuqa vigumu kuuleta hapa Tanganyika au Wazazibari wanaotutawala hawataki?
 
Wow at last umeamka mpaka unajua tunnels zilizopita kwenye makazi ya watu.Najua pia umeangalia so called videos ukapata ushahidi.At least unatetea hoja zako bila matusi.I respect that.
Matusi noma hapa tunajadiliana kwa Hoja Hoja zinaongea bila kufosi kishabiki.
 
Reactions: Tui
Hamas wangekuwa wanapigana above ground hii vita ingeshaisha ni tunnels ndio zinaichelewesha hii vita na ninasikia Hezbolah nao wameingia kwenye mapigano rasmi.
Huwezi kupigana above the ground na adui ambaye anatumia unmanned aircrafts na fighter jets kukushambulia. Wayahudi wametulia Tel aviv, haifa na miji mingine wanaoperate drones na ndege zao za kivita kushambulia gaza. Hivyo technique kubwa ni hii ya kutumia underground tunnels unajihami na kushambulia kwa kushtukiza
 
Unavweza kutukana uwezavyo bahati mbaya kila tusi lita kurudia kwa ukamilifu😂
Wewe ndio ulianza kutukana.Kama ulikuwa unajaribu nafikiri umepata jibu.Jibu hoja kwa hoja.Huwezi kaa kimya ukianza matusi utajibiwa.
 
Uko sahihi lakini hii strategy ya kujificha chini ya makazi ya Wananchi unaionaje?
 
Uko sahihi lakini hii strategy ya kujificha chini ya makazi ya Wananchi unaionaje?
Hao wananchi wanaouliwa wanaiunga mkono Hamas. Mkakati wa kuchimba tunnels upo lakini sio kwenye makazi ya watu.Na kama ulioona tunnels hizo sio ndogo mpaka gari linapita ndani.Iwe kwenye makazi ya watu inaleta kweli mantiki?
 
Inatia shaka sana, ni pengine kutowajibika, kutojali, kuona haya au inaweza kuwa labda kuna watu wachache ktk serikali wanaunga mkono (sympathisers) uharamia na ugaidi
 
Hata Nelson Mandela alipokuwa akipigania uhuru wa South Africa aliitwa gaidi na makaburu.Mapambano yaliendelea na Apartheid System ikashindwa.Ni suala la muda tu.Au wewe unaamini kwamba Nelson Mandela na ANC walikuwa magaidi kwa sababu Western world walidai hivyo?
 
Hao wananchi wanaouliwa wanaiunga mkono Hamas. Mkakati wa kuchimba tunnels upo lakini sio kwenye makazi ya watu.Na kama ulioona tunnels hizo sio ndogo mpaka gari linapita ndani.Iwe kwenye makazi ya watu inaleta kweli mantiki.
Hamas wamekuwa wakirusha makombora kwenye miji ya Israel tena hayo makombora sio guided ni kama Katyusha.

Hamas wakati wanarusha makombora hayo wanalenga raia wa Israel na lengo lao ni kuua raia wa Israel aliyemona asiyekuwemo.

Ukitarget raia wangu na mimi natarget raia wako Simple TIT FOR TAT.

Raia wa Gaza wangeamka na kuiambia Hamas msitarget raia pigeni makambi ya Wanajeshi.

Mahandaki yako makubwa na madogo ingia hata aljazeera angalia video Hamas wenyewe wanaonyesha.
 
Haya Maroketi ya Hamas yanalenga kuuwa Wananchi wa Israeli targeting civilian ni War Crime.

Sasa wewe uwashambulie raia wangu halafu raia wako nikiwagusa kelele moaka juu ya bati.
 
View attachment 2856893
Haya Maroketi ya Hamas yanalenga kuuwa Wananchi wa Israeli targeting civilian ni War Crime.

Sasa wewe uwashambulie raia wangu halafu raia wako nikiwagusa kelele moaka juu ya bati.
Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.
 
Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.
Sema tu hao Waarabu hawana zana nzito za kuua watu wengi, kama target yako ni Civilians Israeli nae anajibu kama wewe huwajali Waarabu wako Israeli inawajali Waisraeli wake.

Maelfu ya Maroketi unayarusha kiholela kwenye raia wa mwenzako akijibu usianze kulia lia, zika maiti zako.

Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.
Israel iliwahi kuwaomba kina Arafat wakubali kugawana Ardhi Arafat akatoka kwa hasira yeye alikuwa anataka Ardhi yote.

Hiyo Ardhi ni yao wote hata Qurani imeandika.

Sasa hivi wanaomba hata kiduchu😁

Tatizo Waarabu wengine huwa wanawadanganya Wapalestina kuwa watawasaidia Kijeshi na ndio sababu baada ya Wazayuni kujiona wamezipiga Nchi karibia zote za Kiarabu sasa wanaringa na huenda wameingiwa na Kibri.

Sisapoti mambo wanayofanya Wazayuni wabaguzi wa rangi huko West Bank.

Lakini nakupa facts.
 
Israel iliwahi kuwaomba kina Arafat wakubali kugawana Ardhi Arafat akatoka kwa hasira yeye alikuwa anataka Ardhi yote.

Hiyo Ardhi ni yao wote hata Qurani imeandika.

Sasa hivi wanaomba hata kiduchu😁
Dah waliwaomba?Mkataba upi wa amani?Camp David au Oslo?
Mkuu leta ushahidi.Alipouawa Waziri Mkuu Rabin na myahudi mwenye mlengo mkali kwa kukubali mkataba wa amani na wapalestina.Mazungumzo yakafa.Israel ikawa inaendelea kumega ardhi ya wapelestina kwa kuleta walowezi wa kiyahudi kutoka nje kujenga kwenye makazi ya wapalestina.Na kuwaua na kuwafukuza wapalestina.
Kuna UN resolution nyingi zikizungumzia hali hiyo na Israel haizifuati chini ya mgongo wa USA.Kulikuwa na two state solution na Israel imekataa.Haki haiombwi inapiganiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…