Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Uislama,ukristo,uyahudi,ubudha,Hinduism hizi zote ni imani za watu wengine.
Waafrika fuateni imani za mababu zenu,achaneni na utahira wa kufuata imani za watu wengine, ndio maana mnakosa majibu maaana imani zenu ni za mapokeo.
 
Uislamu na ukristo zote ni imani za kitapeli
Uislamu ndio utapeli mkuu maana hadithi za ibrahimu , Yesu nk ukiacha za muhamad wao wamekuja kuziandika ilihali wenzao wayahudi, wakristo walishaziandika kwao, ndio maana ibrahimu amekuja kuwa muislam wakati wa ukristo na uyahudi kama aya yao hiyo ya quran
 
Utapeli ni ule mnaofanyiwa nyinyi kila mkienda huko kanisani kwa kumtajirisha mtu ety sadaka ya Mungu

Aisee ivi nyinyi akili zenu ziko wapi?
 
Sasa utakuwepo vipi wakati unamrefer mtu ambaye hakuwepo? Mbona mnakuwa wajinga sana nyie watu?
Sasa wote hatuja kuwepo , wewe unacho kataa kipi kuwa uislamu ulikuwepo toka mwanzo? wakati hata Yesu unae muamini pia hujamuona umehadithiwa tu kama wengine
 
Sasa mkuu kwani ushasikia wakristo wanasema ukristo umekuwepo kabla ya yesu?
Au ushasikia wanasema kina Musa na Ibrahim walikuwa wakristo?
Sasa wewe usichoelewa ni nini? Kwamba hujui kama Wakristo wanaamini kwamba imani ya Ibrahim kwa Mungu ndio imani ya Wakristo, wanaamini waliotangulia wote ilikuwa ni mpango wa Mungu kufikisha ujumbe kwa mwanadamu. Hata Waislam wanaposema Ibrahimu alikuwa Muislam ni kwasababu wanaamini ibrahimu alikuwa ni mwenye kuamini katika Mungu. Ukristo sio jina tu bali imani(kufuata yale yaliyoelekezwa)
 
Mungu alimtokea wapi?
 
Qurani ni janja janja tu, hivi huyo Ibrahimu Mwislamu wa kwenye Qurani ni mtoto wa nani ?
Yaani Baba wa huyo Ibrahimu anaitwa nani kwa mujibu wa Qurani ?

Kumtaja tu hakumaanishi ni Mhusika mwenyewe.
Babu yako wa Tano anaitwa nani?
 
Utapeli ni ule mnaofanyiwa nyinyi kila mkienda huko kanisani kwa kumtajirisha mtu ety sadaka ya Mungu

Aisee ivi nyinyi akili zenu ziko wapi?
Hivi kujengewa misikiti nayo unaona ni akili? Hao wanaojenga hizo pesa wanaokota? siyo sadaka zinazotolewa na waislamu wenye dini yao Uarabuni.
 
Unahitaji elimu kidogo tu uelewe
 
Naona unapambana kufa kupona ili tu Ibrahim asiwe muislam
 
Naona unapambana kufa kupona ili tu Ibrahim asiwe muislam


Hizo ni shutuma nzito dhidi yangu.

Wapi Nimesema Ibrahimu hakuwa Muisilamu??, Qur'an inasema yeye ni alikuwa Muisilamu sasa kwanini nipinge??!!.

Ninachosema mimi Ibrahimu hakuwa mfuasi wa Mtukufu mtume (saw) hivyo hakuwa anatekekeza nguzo 5 za Uisilamu huu wa Mtume (saw) kwani Uisilamu huu licha ya mtu kuwa mnyenyekevu kwa Allah ni lazima ufuate na kutii nguzo 5 na hapo ndipo unakuwa Muisilamu mfuasi wa mtume (saw).

Sasa kwanini Allah kamwita Ibrahim Muisilamu??, kamuita Muisilamu kwa maana ya UNYENYEKEVU/KUJITUPA kwa Allah na manabii wote wameitwa Waisilamu kwa maana hiyo tu kwamba Wao walikuwa Wanyenyekevu waliojitupa na kujisalimisha kwa dhati kubwa mbele ya Allah, hiyo ndio maana ya neno Islamu kwa hao manabii wengine.

Watu wanashindwa kueleza jambo hilo na ndio maana Wakristo wanashangaa na kuuliza inakuaje ibrahim (as) awe Muisilamu wakati dini ya kiisilamu imekuja karibu miaka 5000 baada ya nabii Ibrahim (as)??, wanahitaji majibu yanayoingia akilini.
 
Kuna umuhimu gani wa kujua ni mtoto wa nani kwa mujibu wa Quran!?..hata Muhammad haikusema ni mtoto wa nani...uwe unatoa hoja za maana
Sasa tutajuaje ni Ibrahimu mtoto wa Tera ?
Baba wa Muhammadi kaandikwa kwenye hadithi za Mtume Muhammadi au husomi kijana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…