Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

we mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafiki
Sababu ya Waislam kusema Adam ni muislam ipo hivi. Adam alikuwa ana muabudu Mwenyezi Mungu tu na waislam nao wana muabudu Mwenyezi Mungu tu. Angalia jinsi ya waislam wanavyo salimiana Asalam aleikum warahmatul llahi wa barakatu(Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako). Nipe salamu za dini yengine zinasemaje.
 
mkija na hoja kama hizi walau mnaweza kueleweka kuliko kuja na matusi, jazba na mapovu mengi huku mkishutumu wenzenu kuwa wana chuki dhidi yenu. Kwa ujumla hakuna chuki kwenye dini ni chalenji tu kujulishana nini hasa imani ya kweli. Kila dini na dhehebu wana salamu zao wanazosalimiana wenyewe kwa wenyewe
 
Ibrahim alimzaa Ishmael,
Ishmael akamzaa KEDARI,
KEDARI akazaa wana 12 ambao ndiyo makabila 12 ya waarabu (Waislamu).
So, kama Ibrahim ndiye chanzo cha hao Waislamu, jibu ni wazi tu kuwa alikuwa Muislamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kirahisi tu!.
Sipendi mijadala ya dini ila hapo umenichekesha. Ebu tafakari tena ulichokiandika 🤣🤣🤣
 
hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je niwapi wanaomfata?
Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
 
mkija na hoja kama hizi walau mnaweza kueleweka kuliko kuja na matusi, jazba na mapovu mengi huku mkishutumu wenzenu kuwa wana chuki dhidi yenu. Kwa ujumla hakuna chuki kwenye dini ni chalenji tu kujulishana nini hasa imani ya kweli. Kila dini na dhehebu wana salamu zao wanazosalimiana wenyewe kwa wenyewe
Lakini mkuu wewe umeanza kuweka maneno ya dharau ya kusema. Wafia dini na waislam watasema Adam kuwa muislam, na upo tayari kupambana nao. Sio vizuri kutoa maneno makali kwa mwezio asie amini unacho amini. Tupeyane maneno mema ili sote tuwe kwenye njia njema.
 
Ibrahim alimzaa Ishmael,
Ishmael akamzaa KEDARI,
KEDARI akazaa wana 12 ambao ndiyo makabila 12 ya waarabu (Waislamu).
So, kama Ibrahim ndiye chanzo cha hao Waislamu, jibu ni wazi tu kuwa alikuwa Muislamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kirahisi tu!.
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!

HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.

WANAZIDI KUTUHAKIKISHIA KUWA QURAN NI KITABU CHENYE SHAKA!

1. Hakuna kokote kule kwenye Quran panaponyesha kuwa ALLAH alisema na Ishmael! Wala hakuna kokote kwenye kitabu hicho panaposema eti Allah alimfanya kuwa taifa kubwa na kwamba atazaa maseyyidina 12!

2. HAKUNA KOKOTE KWENYE BIBLIA PANAPOONYESHA KUWA MAREHEMU MUHAMMAD ALITOKA KWENYE UZAO WA ISHMAEL ACHILIA MBALI NA JINA LAKE KUTOTAJWA!

KWA KUWA WANATEGEMEA BIBLIA,WATUELEZE KATI YA ISAKA NA ISHMAEL NANI ALITOLEWA NA IBRAHIMU KUWA SADAKA YA KUTEKETEZWA?
(Mwanzo22:1-18)

BILA SHETANI KUPOTOSHA MAANDIKO YA BIBLIA UISLAMU HAUHUBIRIKI!!
 
Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
Mwenyezi Mungu lazima aweke sheria zake ili watu wajuwe kama yupo na atatoa hukumu kwa kosa lako. Mfano Tanzania ilipopata uhuru iliweka katiba yake na sheria yake. Hii ikionesha ipo serikali nchini na sheria ifuatwe ukikosea sheria itakupata. Serikali nayo ina Askari,mahkimu, na jela na Mwenyezi Mungu nae anao wasimamizi wake Malaika,mitume na adhabu yake pia.
 
Naam ni kweli
 
Imekuaj ndani ya Qur`ani Tukufu: {Na mtaje katika Kitabu Ismail. Bila ya shaka yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii} [MATYAM: 54].
Hapa kunatofauti kati ya Qur`ani na Taurati, kwa sababu Qur`ani inaelezea kuwa Ismaili alikuwa ni Mtume Nabii, wakati Taurati inasema: “Naye atakuwa kama punda mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote” Mwanzo 16: 12.
Kuondoa shaka:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimwendee bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, masahaba wake na wanaomfuata, na baada ya hayo:
Ismaili A.S. Nabii katika Manabii wa Mwenyezi Mungu, naye ni mtoto wa Nabii Ibrahim A.S. ni mwenye ubora mkubwa na heshima kubwa, kwani alisubiri sana kwenye mtihani wa Mwenyezi Mungu, na hilo ni pale Nabii Ibrahim alipoona ndotoni kuwa anamchinja mwanawe Ismaili, na ndoto za Mitume ni kweli, hivyo alimpa habari mwanawe ya hilo ndipo Nabii Ismaili alipojisalimisha pamoja na baba yake kwenye amri ya Mola wake, na Mwenyezi Mungu akamuokoa kutokana na kuchinjwa na kuwapa fidia mnyama wa kuchinjwa. Nabii Ismaili alimsaidia baba yake katika kujenga nguzo za Msikiti Mtakatifu wa Makka, hii ni heshima kubwa pia, na miongoni mwa heshima kubwa kwake ni kuja kutokana na kizazi chake kitakatifu Mtume wetu Muhammad S.A.W.
Mwenyezi Mungu Amemsifu katika Aya hii Tukufu kuwa alikuwa ni mtu mkweli wa ahadi, na amemuhusisha na sifa hii – pamoja na kuwa ukweli ni sifa ya Manabii wote – ni kwa sababu alikuwa ni maarufu katika sifa hiyo, kwani aliahidi subira wakati wa kutakiwa kuchinjwa na alitekeleza ahadi hiyo, ambapo Mwenyezi Mungu Anasema Akimuelezea kauli yake kwa baba yake: {Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyoamrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanaosubiri} [AS-SWAFFAAT: 102].
Na kauli yake Mola Mtukufu: {Na alikuwa Mtume Nabii} inaonesha wazi juu ya heshima ya Nabii Ismail A.S. na ubora wake kwa ndugu yake Is-hak A.S. kwani Mwenyezi Mungu Amemhusisha Utume na Ujumbe kwa pamoja kwani Mwenyezi Mungu Alimpeleka kwa Waarabu wa kabila la Jurham na ndani ya kabila hilo alioa na kupata mtoto, aliwaelezea kuhusu Mwenyezi Mungu Sharia zake ambazo Amewawekea. Ama Is-haka amehusishwa na Utume tu pasi ya kupewa Ujumbe. Mwenyezi Mungu Amesema: {Tulimpa Is-haq na Yaaqub, na kila mmoja tukamfanya Nabii} [MARAYAM: 49].
Ama yaliyokuja ndani ya Taurati wasifu kuwa ni mtu muovu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, kwa maana ni mtu dhalimu muovu anachukua kwa watu kwa njia batili na anabadilisha dini ya Manabii na anaongopa kwa Mwenyezi Mungu na mfano wa hayo.
Ni maelezo yanayopingana na yaliyokuja kwenye Kitabu Kitakatifu kwa sababu tunakuta kinamsifu Ismaili sifa tofauti na sifa hii, kinasema: “Na kwa habari za ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, name nitamwongeza sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, name nitamfanya awe taifa kuu”. Mwanzo: 17: 20.
 
Lakini mkuu wewe umeanza kuweka maneno ya dharau ya kusema. Wafia dini na waislam watasema Adam kuwa muislam, na upo tayari kupambana nao. Sio vizuri kutoa maneno makali kwa mwezio asie amini unacho amini. Tupeyane maneno mema ili sote tuwe kwenye njia njema.
ukiangalia mjadala komenti yangu ni miongoni mwa komenti za mwanzo mwanzo kwenye huu uzi, nilichoki predict ndicho kilichotokea kwa baadhi ya wachangiaji, wanajenga hoja kuwa ibrahimu alikuwa wa upande wao. Nikashukiwa kama nyuki wenye hasira. Sisi watanzania hatuna chuki za kidini japo tuna dini tofauti na madhehebu tofauti. Humu tunachalenjiana kwa kupeana ukweli wa mambo, hakuna chuki
 
#Waislam wanasema: Ibrahimu, Musa, Ismail, Isaki, Yakubu walikuwa Waislam hata majina yao ni ya kislam, kwani mmeshaona mkristo anaitwa Ibrahimu ama Ismail ama Musa ama Yakub?

Uko ndivyo waislam wanajinadi kupitia majina hayo nk. Nasema hivi huo ni upungufu wa elimu ama ufahamu. Nina ndg na marafiki wanaitwa Musa na Ibrahimu na niwakristo, sasa sijui hiyo takwimu mnaitoa wapi. Labda nije katika uchambuzi wa asili ya majina hayo:-

Majina mengi tuliyonayo Watanzania yametokana na mababu zetu km Chacha, Mwita, Malima, Massawe, Sumwa, Magige nk ingawa majina hayo siku hizi tunayadharau na kuyageukia majina ya kiarabu na kizingu. Majina hayo ya kigeni tumeyatoa kwa waarabu, Wayahudi na Wazungu kupitia dini zilizokuja Afrika yaani Ukristo na Uislam. Na kwasababu ya ukoloni uliowaathiri babu zetu, baba zetu walitupa majina ya kigeni kulingana na dini mpya walizopokea, na mpk leo umekuwa urithi wetu kuwapa watoto majina ya kiarabu na wazungu kwa muktadha wa kidini. Na kufanya hivo si dhambi bali ukiyanadi kidini ndo kukosa elimu uko. Maana wakristo wa kiarabu pia wanaitwa Yakub, Isak, Musa mpk Walid nk

Sasa ebu tuangalie uhalisi wa majina kadha wa kadha ambayo yanatumika sana.

#Ibrahimu: jina ili linamatamshi ya lugha ya kiarabu ila kwa asili ni jina la Kiebrania/Kiyahudi lenye kutamkwa #Avraham ama Abraham. Na Waingereza wanaita Abraham na Waarabu wanatamka Ibrahimu na kwakuwa kiswahili kimechangia maneno na lugha ya Kiarabu jina Ibrahimu limepokelewa hivo hivo ktk Kiswahili. Kwaiyo nakupa pole ww mswahili unavyonadi jina bila kujua asili yake. Na maana ya AB[V]RAHAM ni baba wa mataifa mengi.

#Ismail: Jina ili matamshi yake ni kiarabu na si kislam, na asili ya jina ili ni Kiebrania/Kiyahudi linatamkwa #Ishmael lenye maana El-Mungu amesikia(ishma). Kwaiyo ukiitwa Ishmael au Ismail yote sawa tofauti ni matamshi ya lugha husika ila ukitaka chimbuko la jina ni ISHMAEL. Kwaiyo km ww unalinakshi na dini basi tambua umefungwa ufahamu.

#Isaka: Jina ili ni la kiebrania yaani #Yitzchaq ama Yitshaq na kwa kingereza ni Isaac ambalo matamshi yake ni IEZEK na kwa Kiarabu ni Ishaq. Jina ili lina maana ya furaha au kicheko. Kwaiyo ukilinakshi na dini yako utakuwa unakosa ufahamu.

Yakobo: Jina ili kwa asili ni kiebrania/Kisrael #Yaakov na kwa kiarabu ni Yakub na kiengereza ni Jacob, lenye maana ya mshika kisigino.

Musa: Jina ili lina asili ya Misri yaani Mose na linatumika sana na Wayahudi, wanalitamka #MOSHE na kwa kingereza ni Moses, na kiarabu ni Musa. Kwaiyo ni #upumbavu kusema Musa ni mwislam sbb anaitwa Musa au nikiitwa Musa nakuwa muislam, na nikiitwa Moshe nakuwa myahudi ama Moses nakuwa mkristo, hizo ni lugha tu. Pumbafu

Nb: Babu yake Muhamad yaani Abdulah alikuwa muabudu miungu(mpagani) na aliitwa Abdulah yaani mtumwa wa Allah, na hapo uislam ulikuwa bado hujaja. Na leo abdulah limekuwa jina linalotumiwa na waislam. kwa hoja zenu za majina je Abdulah naye alikuwa muislam sbb aliitwa abdulah?
 
Mkuu, very nice.

Tafadhali nitafutie ile aya ambamo Allah anasema maneno yanayofanana na haya; "Amewausia manabii dini--- ya kwamba wasimshirikishe Allah na chochote---"

Hiyo aya inayo maneno yanayofanana na hayo niliyoyaandika ila nimesahau mtiririko wake na ipo wapi katika Qur'an , hiyo aya ndiyo inajibu nini maana ya neno الدين lilotumika hapo kwenye hiyo aya uliyoileta kwani neno Dini, mbali, na maana ya Religion linazo maana zingine nazo waweza kuzipata kulingan na context ya aya.

Mfano katika 1:5,
ملك يوم الدين Maliki yaumi din, yaani; Mmiliki wa SIKU YA MALIPO, hapo utaona neno "Dini" limetafsiriwa kuwa "malipo" ya siku ya Qiyama..
Umaanisha hii?

۞ شَرَعَ لَكُم مِّنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ ۖ أَنْ أَقِيمُوا الدِّينَ وَلَا تَتَفَرَّقُوا فِيهِ ۚ كَبُرَ عَلَى الْمُشْرِكِينَ مَا تَدْعُوهُمْ إِلَيْهِ ۚ اللَّهُ يَجْتَبِي إِلَيْهِ مَن يَشَاءُ وَيَهْدِي إِلَيْهِ مَن يُنِيبُ

(ASH-SHUURA - 13)
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
 
Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
Sasa kama hakuunda Dini,kwa nini mambo ya Sodoma aliyatolea hukumu?.
 
hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je niwapi wanaomfata?
DINI NI ITIKADI...NA SIO MTU... ITIKADI NDIO INAYOTOFAUTISHA DINI YA MTU NA MTU... WAKRISTO WANAUNGANISHWA NA ITIKADI KUWA YESU NI MUNGU, MARA MWANA WA MUNGU, MARA MUNGU HUYO HUYO KASULUBIWA MARA KAUAWA NA VIUMBE VYAKE, MARA MUNGU YUPO NA NAFSI TATU...HIZO ITIKADI NDIO DINI YA KIKRISTO...

WAISLAAM WANAUNGANISHWA NA ITIKADI YA MUNGU NI MMOJA TU (MUUMBA, MLEZI, MGAWA RIZK, MUENDESHA MAMBO YOTE DUNIANI NA MUWEZA JUU YA KILA KITU)...HUYO NDIYE MWENYE HAKI YA KUABUDIWA PEKEE YAKE WALA ASISAIDIWE WALA KUSHIRIKIANA NA YEYOTE KATIKA HAKI HIYO...HANA MWANA WALA MKE...HAJAZAA WALA KUZALIWA...ITIKADI HIYO NDIO UISLAAM...

HAKUNA MAHALI IBRAAHIM ALIWAHI KUMUABUDU YESU WALA MAMA YAKE YESU...WALA HAKUWAHI KUABUDU KATIKA UTATU MTAKATIFU, NA WALA HAKUWAHI KUTAMKA HATA SEHEMU MOJA KUWA MUNGU ANA MWANA...NA MWANAE NDIYE YESU...AKASULUBIWA KWA DHAMBI ZAKE... (HIVYO HAKUWA MKRISTO HATA WA KUCHOVYA)

IBRAAHIM HAKUWAHI KUABUDU SANAMU...NA ALIVUNJA VUNJA MASANAMU YOTE...NA ALIZIKATAA IBADA ZOTE ZA KUABUDU MIZIMU, KUABUDU JUA, MWEZI, NYOTA, MITI WALA MAWE...(HIVYO HAKUWA MSHIRIKINA)

IBRAAHIIM ALISIMAMIA KUWAELEKEZA WATU WOTE KUMUABUDU MUNGU WAO MUUMBA MMOJA TU...AKIMTAKASA KWA SIFA ZILIZO BORA WALA HANA MAPUNGUFU...NA ALIKUWA NI MWENYE KUINAMA NA KUMSUJUDIA MUNGU HUYU MMOJA WA MBINGUNI...

HAKUWAHI KUMPA MUNGU HUYO SIFA YA KUWA NA MWANA AU KUWA NA MKE...

HII NDIYO ITIKADI YA UISLAAM...HIVYO BASI...KWA SABABU ALIKUWA NA ITIKADI YA UISLAAM...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MUISLAAM SAFI...TENA MSAFI KWELI KWELI NAMBARI ONE...

na itikadi hii aliwafundisha wanae ISMAAI'IL NA IS-HAAQ...KUWA HAKUNA MUNGU MWINGINE ANAYEPASWA KUABUDIWA ISIPOKUWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI...HAJAZAA WALA HAJAZALIWA...HANA MKE WALA MWANA...NA WALA HANA MSAADA ..NA WALA HAJAGAWANYIKA KATIKA NAFSI TATU ..Anayebisha alete andiko.
 
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!

HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.

WANAZIDI KUTUHAKIKISHIA KUWA QURAN NI KITABU CHENYE SHAKA!

1. Hakuna kokote kule kwenye Quran panaponyesha kuwa ALLAH alisema na Ishmael! Wala hakuna kokote kwenye kitabu hicho panaposema eti Allah alimfanya kuwa taifa kubwa na kwamba atazaa maseyyidina 12!

2. HAKUNA KOKOTE KWENYE BIBLIA PANAPOONYESHA KUWA MAREHEMU MUHAMMAD ALITOKA KWENYE UZAO WA ISHMAEL ACHILIA MBALI NA JINA LAKE KUTOTAJWA!

KWA KUWA WANATEGEMEA BIBLIA,WATUELEZE KATI YA ISAKA NA ISHMAEL NANI ALITOLEWA NA IBRAHIMU KUWA SADAKA YA KUTEKETEZWA?
(Mwanzo22:1-18)

BILA SHETANI KUPOTOSHA MAANDIKO YA BIBLIA UISLAMU HAUHUBIRIKI!!
Hakuna sehemu yoyote Muislamu katumia biblia kutoa hoja.Kama unaushahidi weka hapa.
Bali waislamu hutumia vitabu vya Mungu alivyowapa manabii wake ambavyo ni Torati,Zaburi,Injili na vingine.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyezi Mungu lazima aweke sheria zake ili watu wajuwe kama yupo na atatoa hukumu kwa kosa lako. Mfano Tanzania ilipopata uhuru iliweka katiba yake na sheria yake. Hii ikionesha ipo serikali nchini na sheria ifuatwe ukikosea sheria itakupata. Serikali nayo ina Askari,mahkimu, na jela na Mwenyezi Mungu nae anao wasimamizi wake Malaika,mitume na adhabu yake pia.
Shida watu hawajui maana ya Dini ndiyo wanakurupuka tu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa kuhusu dini, maranyingi Wakristo wamekuwa wakiwakebehi Waislam wasemapo kwamba manabii ama mitume fulani waliokuwepo miaka mingi nyuma kabla ya Uislam ni Waislam. Hamtakiwi kukebehi kuhusu hili maana ndio imani yao na vitabu vyao vimeandika hivi.

Kinachofurahisha Wakristo wao hujiona wako sahihi kusema Manabii hao wlikuwa upande wao wakati Ukristo umekuja baadae sana.

Iko hivi: Wayahudi wanaamini maandiko yao matakatifu (Torah). Wakristo wameandika katika biblia yao takatifu kuhusu Moses na maandiko yake lakini hii haiwezi kuwashawishi Wayahudi waamini kwamba Ukristo ulikuwepo tangu kipindi cha Musa. Vivyo hivyo kwa Waislam, Quran imeandika kuhusu Musa na hata Yesu lakini hiyo haitawafanya Wakristo waamini kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Yesu.

Mkijua hili wala hakuna haja ya kumsema mwenzako wakati hata wewe umefata mfumo huo huo. Wakristo wanaamini Wayahudi walimkataa Yesu na walijutia kwa hilo baada ya kumuua lakini ukweli hadi leo hii Wayahudi hawamuamini Yesu kama messiah. Waislam wanaamini Muhammad ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuwaleta wasaidizi wake kueleza utukufu wake lakini Wakristo hawaamini katika hilo.

Anayewaita wenzake wafia dini yeye keshaoza katika dini yake😂

Back
Top Bottom