Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Hakuna sehemu yoyote Muislamu katumia biblia kutoa hoja.Kama unaushahidi weka hapa.
Bali waislamu hutumia vitabu vya Mungu alivyowapa manabii wake ambavyo ni Torati,Zaburi,Injili na vingine.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Tuanze na yeye mwenye kitabu chake biblia...wapi IBRAAHIM ALIAMINI KATIKA UTATU MTAKATIFU, WAPI IBRAAHIIM ALIAMINI KATIKA YESU KUWA MWANA WA MUNGU NA NI MUNGU...BASI KAMA HAITOSHI LETA ANDIKO KWENYE BIBLIA LINALOSEMA IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...

Tutawapa andiko kwenye Quran linalosema IBRAAHIM ALIKUWA MUISLAAM NA ALITAMKA MWENYEWE...NA ALIMUOMBA MUNGU WAKE AWE MUISLAAM...
 
KATIKA WATU WENYE HOJA DHAIFU NI WAKRISTO...

ZAIDI YA UJINGA...NA STORY ZA KUTUNGA BADALA YA MAANDIKO ...HAWANA CHA KUJADILIANA NA WAISLAAM...

WANAPENDA SANA KUANZISHA MADA ZA KUWASHUTUMU WAISLAAM NA DINI YAO...WANAPOJIBIWA KWA HOJA NZITO MADHUBUTI HUKIMBIA...AU HUSHUPAZA SHINGO KWA UBISHI TU...HALI YA KUWA WAMESHAONA MAPUNGUFU KATIKA DINI YAO...

TUNA JIBU FUPI LA HILI SWALI LA UZI.

Ibraahim alikuwa na itikadi ya kumuabudu Mungu Mmoja...alikataa kumshirikisha Mungu na chochote...na wala HAKUWAHI KUSEMA POPOTE KWENYE BIBLIA KUWA YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU AU MUNGU YUPO KATIKA UTATU MTAKATIFU...

Mpaka hapo kwa itikadi hiyo...tayari jibu ni IBRAAHIIM ALIKUWA NI MUISLAAM KAMILI ..KWA SABABU HIYO NDIO ITIKADI YA UISLAAM...

UKIBISHA LETA ANDIKO KWENYE BIBLE. SIO MANENO MATUPU.
 
We ni moja ya yale majitu tunaita makubwa jinga. Sasa anakuaje muislamu wakati uislamu haukuwepo?

hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je niwapi wanaomfata?
1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.
2. Alikuwa Mwebrania
3. Ni chanzo cha Israel kupitia Isaka hatimaye Yakobo ambaye ndiye Israel mwenyewe.
4. Ni chanzo cha Waarabu kupitia mke mdogo/ kijakazi/suria Hijiri
5. Alimwabudu Mungu Yahwe na hakuwa na dini au dhehebu.
 
Jew maana vitabu vya Tora vinamtaja kama baba wa Taifa la Israel! Na kumbuka dini yao ipo kabla ya Ukristo na Uislam!
 
hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je niwapi wanaomfata?
3_67.gif

Qur'an 3:67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. 67
 
We ni moja ya yale majitu tunaita makubwa jinga. Sasa anakuaje muislamu wakati uislamu haukuwepo?
WEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...

NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
 
We kichwa mavi usiniulize mambo ya ukristo. Mi sio mkristo. Hayanihusu. Hakuna mahali nimesema alikuwa mkristo kwa sababu sifikirii kipumbavu kama wewe. Anawezaje kuwa na dini ambazo zilikuja kabla yake? Mbona vichwa mmejaza makimba nyie wavaa makobazi
 
1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.
2. Alikuwa Mwebrania
3. Ni chanzo cha Israel kupitia Isaka hatimaye Yakobo ambaye ndiye Israel mwenyewe.
4. Ni chanzo cha Waarabu kupitia mke mdogo/ kijakazi/suria Hijiri
5. Alimwabudu Mungu Yahwe na hakuwa na dini au dhehebu.
Na watu weusi chazo chao kilikuwa kupitia kwa nani?
 
Naomba unisaidie kufahamu. Ili uwe muislamu ni lazima ushuhudie kuwa mwenyezi mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake. Yaani ni lazima utoe shahada.

Sasa nafahamu Ibrahimu alikuwepo kabla ya mtume Muhammad. Je, aliisema hii shahada au alifanyaje akawa muislamu? Asante.
Hiyo ni baada ya kuja Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasallam na mafundisho hayo, kabla yake mafundisho yalikuwa kama walivyoleta mitume kwa nyakati zao.
 
Soma zaidi kuhusu Ibrahim: Ibrahim in the Quran
We bibi nae ni moja ya majitu majinga sana humu jf. Sasa mudi kamkuta ibrahimu na kakuta stories zake kutoka kwa wayahudi. Kakopi hizo stories kaandika kwenye hicho kitabu. Hakuna any validity. Mudi ndo kaleta uislamu, uislamu haukuwepo kabla ya mudi. Ili uwe muislamu lazima umkubali jambazi na mbakaji mudi. Msiwe mnatumia kichwa kama mfuko wa meno pekee
 
Hatukuja hapa kutukanana, rekebisha lugha yako.

Hii ni mijadala yenye faida kwa wengi, huna sababu ya kuwa na lugha za kuudhi.
 
Naomba unisaidie kufahamu. Ili uwe muislamu ni lazima ushuhudie kuwa mwenyezi mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake. Yaani ni lazima utoe shahada.

Sasa nafahamu Ibrahimu alikuwepo kabla ya mtume Muhammad. Je, aliisema hii shahada au alifanyaje akawa muislamu? Asante.
Walikuwa wanaishia hapo hapo kwenye kuamini mungu ni mmoja Hana mshirika,hajazaa Wala hajazaliwa
 
Sasa nyinyi kwanini msiishi kama wao? Instead mmeng’ang’ania mambo ya mudi, mpaka mnaua watu kwa sababu ya huyu bwana
 
Wafia dini watakuambia alikuwa muislam, nimenunua mada ngoja nishukiwe vikali na hao wafia dini, nawasubiri kwa hamu tunyukane kihoja
Unasubiri Wajibu wewe ndio uanze kutoa uharo wa kande😁😁😁😁

Ukiwa POPOMA bin MAJNUNI taaabu sana akiii!
 
we mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafiki
Maviiiii 😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom