Sababu ya Waislam kusema Adam ni muislam ipo hivi. Adam alikuwa ana muabudu Mwenyezi Mungu tu na waislam nao wana muabudu Mwenyezi Mungu tu. Angalia jinsi ya waislam wanavyo salimiana Asalam aleikum warahmatul llahi wa barakatu(Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako). Nipe salamu za dini yengine zinasemaje.we mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafiki
mkija na hoja kama hizi walau mnaweza kueleweka kuliko kuja na matusi, jazba na mapovu mengi huku mkishutumu wenzenu kuwa wana chuki dhidi yenu. Kwa ujumla hakuna chuki kwenye dini ni chalenji tu kujulishana nini hasa imani ya kweli. Kila dini na dhehebu wana salamu zao wanazosalimiana wenyewe kwa wenyeweSababu ya Waislam kusema Adam ni muislam ipo hivi. Adam alikuwa ana muabudu Mwenyezi Mungu tu na waislam nao wana muabudu Mwenyezi Mungu tu. Angalia jinsi ya waislam wanavyo salimiana Asalam aleikum warahmatul llahi wa barakatu(Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako). Nipe salamu za dini yengine zinasemaje.
Sipendi mijadala ya dini ila hapo umenichekesha. Ebu tafakari tena ulichokiandika 🤣🤣🤣Ibrahim alimzaa Ishmael,
Ishmael akamzaa KEDARI,
KEDARI akazaa wana 12 ambao ndiyo makabila 12 ya waarabu (Waislamu).
So, kama Ibrahim ndiye chanzo cha hao Waislamu, jibu ni wazi tu kuwa alikuwa Muislamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kirahisi tu!.
Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
Toa ushahidi wa kimaandiko sio story za kusikia kwenye movieIbrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
Lakini mkuu wewe umeanza kuweka maneno ya dharau ya kusema. Wafia dini na waislam watasema Adam kuwa muislam, na upo tayari kupambana nao. Sio vizuri kutoa maneno makali kwa mwezio asie amini unacho amini. Tupeyane maneno mema ili sote tuwe kwenye njia njema.mkija na hoja kama hizi walau mnaweza kueleweka kuliko kuja na matusi, jazba na mapovu mengi huku mkishutumu wenzenu kuwa wana chuki dhidi yenu. Kwa ujumla hakuna chuki kwenye dini ni chalenji tu kujulishana nini hasa imani ya kweli. Kila dini na dhehebu wana salamu zao wanazosalimiana wenyewe kwa wenyewe
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!Ibrahim alimzaa Ishmael,
Ishmael akamzaa KEDARI,
KEDARI akazaa wana 12 ambao ndiyo makabila 12 ya waarabu (Waislamu).
So, kama Ibrahim ndiye chanzo cha hao Waislamu, jibu ni wazi tu kuwa alikuwa Muislamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kirahisi tu!.
Mwenyezi Mungu lazima aweke sheria zake ili watu wajuwe kama yupo na atatoa hukumu kwa kosa lako. Mfano Tanzania ilipopata uhuru iliweka katiba yake na sheria yake. Hii ikionesha ipo serikali nchini na sheria ifuatwe ukikosea sheria itakupata. Serikali nayo ina Askari,mahkimu, na jela na Mwenyezi Mungu nae anao wasimamizi wake Malaika,mitume na adhabu yake pia.Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
Kama una andiko la kupinga hicho nilichokisema litoeToa ushahidi wa kimaandiko sio story za kusikia kwenye movie
Naam ni kweliMwenyezi Mungu lazima aweke sheria zake ili watu wajuwe kama yupo na atatoa hukumu kwa kosa lako. Mfano Tanzania ilipopata uhuru iliweka katiba yake na sheria yake. Hii ikionesha ipo serikali nchini na sheria ifuatwe ukikosea sheria itakupata. Serikali nayo ina Askari,mahkimu, na jela na Mwenyezi Mungu nae anao wasimamizi wake Malaika,mitume na adhabu yake pia.
Imekuaj ndani ya Qur`ani Tukufu: {Na mtaje katika Kitabu Ismail. Bila ya shaka yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii} [MATYAM: 54].WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!
HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.
WANAZIDI KUTUHAKIKISHIA KUWA QURAN NI KITABU CHENYE SHAKA!
1. Hakuna kokote kule kwenye Quran panaponyesha kuwa ALLAH alisema na Ishmael! Wala hakuna kokote kwenye kitabu hicho panaposema eti Allah alimfanya kuwa taifa kubwa na kwamba atazaa maseyyidina 12!
2. HAKUNA KOKOTE KWENYE BIBLIA PANAPOONYESHA KUWA MAREHEMU MUHAMMAD ALITOKA KWENYE UZAO WA ISHMAEL ACHILIA MBALI NA JINA LAKE KUTOTAJWA!
KWA KUWA WANATEGEMEA BIBLIA,WATUELEZE KATI YA ISAKA NA ISHMAEL NANI ALITOLEWA NA IBRAHIMU KUWA SADAKA YA KUTEKETEZWA?
(Mwanzo22:1-18)
BILA SHETANI KUPOTOSHA MAANDIKO YA BIBLIA UISLAMU HAUHUBIRIKI!!
ukiangalia mjadala komenti yangu ni miongoni mwa komenti za mwanzo mwanzo kwenye huu uzi, nilichoki predict ndicho kilichotokea kwa baadhi ya wachangiaji, wanajenga hoja kuwa ibrahimu alikuwa wa upande wao. Nikashukiwa kama nyuki wenye hasira. Sisi watanzania hatuna chuki za kidini japo tuna dini tofauti na madhehebu tofauti. Humu tunachalenjiana kwa kupeana ukweli wa mambo, hakuna chukiLakini mkuu wewe umeanza kuweka maneno ya dharau ya kusema. Wafia dini na waislam watasema Adam kuwa muislam, na upo tayari kupambana nao. Sio vizuri kutoa maneno makali kwa mwezio asie amini unacho amini. Tupeyane maneno mema ili sote tuwe kwenye njia njema.
Umaanisha hii?Mkuu, very nice.
Tafadhali nitafutie ile aya ambamo Allah anasema maneno yanayofanana na haya; "Amewausia manabii dini--- ya kwamba wasimshirikishe Allah na chochote---"
Hiyo aya inayo maneno yanayofanana na hayo niliyoyaandika ila nimesahau mtiririko wake na ipo wapi katika Qur'an , hiyo aya ndiyo inajibu nini maana ya neno الدين lilotumika hapo kwenye hiyo aya uliyoileta kwani neno Dini, mbali, na maana ya Religion linazo maana zingine nazo waweza kuzipata kulingan na context ya aya.
Mfano katika 1:5,
ملك يوم الدين Maliki yaumi din, yaani; Mmiliki wa SIKU YA MALIPO, hapo utaona neno "Dini" limetafsiriwa kuwa "malipo" ya siku ya Qiyama..
Hili ni jibu kwa yule aliyeona eti ni rahisi kumuweka Ibrahim katika Uyahudi kwa mtiririko aliouweka.Ndiyo sasa na mimi nimepita katika mapito yake.[emoji23][emoji23][emoji23]Sipendi mijadala ya dini ila hapo umenichekesha. Ebu tafakari tena ulichokiandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama hakuunda Dini,kwa nini mambo ya Sodoma aliyatolea hukumu?.Ibrahim hakua dini yoyote. Mungu baada ya kuumba vitu vyote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho mwishoni alimuumba Binadamu, hakuunda dini.
DINI NI ITIKADI...NA SIO MTU... ITIKADI NDIO INAYOTOFAUTISHA DINI YA MTU NA MTU... WAKRISTO WANAUNGANISHWA NA ITIKADI KUWA YESU NI MUNGU, MARA MWANA WA MUNGU, MARA MUNGU HUYO HUYO KASULUBIWA MARA KAUAWA NA VIUMBE VYAKE, MARA MUNGU YUPO NA NAFSI TATU...HIZO ITIKADI NDIO DINI YA KIKRISTO...hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
Hakuna sehemu yoyote Muislamu katumia biblia kutoa hoja.Kama unaushahidi weka hapa.WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!
HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.
WANAZIDI KUTUHAKIKISHIA KUWA QURAN NI KITABU CHENYE SHAKA!
1. Hakuna kokote kule kwenye Quran panaponyesha kuwa ALLAH alisema na Ishmael! Wala hakuna kokote kwenye kitabu hicho panaposema eti Allah alimfanya kuwa taifa kubwa na kwamba atazaa maseyyidina 12!
2. HAKUNA KOKOTE KWENYE BIBLIA PANAPOONYESHA KUWA MAREHEMU MUHAMMAD ALITOKA KWENYE UZAO WA ISHMAEL ACHILIA MBALI NA JINA LAKE KUTOTAJWA!
KWA KUWA WANATEGEMEA BIBLIA,WATUELEZE KATI YA ISAKA NA ISHMAEL NANI ALITOLEWA NA IBRAHIMU KUWA SADAKA YA KUTEKETEZWA?
(Mwanzo22:1-18)
BILA SHETANI KUPOTOSHA MAANDIKO YA BIBLIA UISLAMU HAUHUBIRIKI!!
Shida watu hawajui maana ya Dini ndiyo wanakurupuka tu.Mwenyezi Mungu lazima aweke sheria zake ili watu wajuwe kama yupo na atatoa hukumu kwa kosa lako. Mfano Tanzania ilipopata uhuru iliweka katiba yake na sheria yake. Hii ikionesha ipo serikali nchini na sheria ifuatwe ukikosea sheria itakupata. Serikali nayo ina Askari,mahkimu, na jela na Mwenyezi Mungu nae anao wasimamizi wake Malaika,mitume na adhabu yake pia.
DINI NI ITIKADI...NA SIO MTU... ITIKADI NDIO INAYOTOFAUTISHA DINI YA MTU NA MTU... WAKRISTO WANAUNGANISHWA NA ITIKADI KUWA YESU NI MUNGU, MARA MWANA WA MUNGU, MARA MUNGU HUYO HUYO KASULUBIWA MARA KAUAWA NA VIUMBE VYAKE, MARA MUNGU YUPO NA NAFSI TATU...HIZO ITIKADI NDIO DINI YA KIKRISTO...Kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa kuhusu dini, maranyingi Wakristo wamekuwa wakiwakebehi Waislam wasemapo kwamba manabii ama mitume fulani waliokuwepo miaka mingi nyuma kabla ya Uislam ni Waislam. Hamtakiwi kukebehi kuhusu hili maana ndio imani yao na vitabu vyao vimeandika hivi.
Kinachofurahisha Wakristo wao hujiona wako sahihi kusema Manabii hao wlikuwa upande wao wakati Ukristo umekuja baadae sana.
Iko hivi: Wayahudi wanaamini maandiko yao matakatifu (Torah). Wakristo wameandika katika biblia yao takatifu kuhusu Moses na maandiko yake lakini hii haiwezi kuwashawishi Wayahudi waamini kwamba Ukristo ulikuwepo tangu kipindi cha Musa. Vivyo hivyo kwa Waislam, Quran imeandika kuhusu Musa na hata Yesu lakini hiyo haitawafanya Wakristo waamini kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Yesu.
Mkijua hili wala hakuna haja ya kumsema mwenzako wakati hata wewe umefata mfumo huo huo. Wakristo wanaamini Wayahudi walimkataa Yesu na walijutia kwa hilo baada ya kumuua lakini ukweli hadi leo hii Wayahudi hawamuamini Yesu kama messiah. Waislam wanaamini Muhammad ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuwaleta wasaidizi wake kueleza utukufu wake lakini Wakristo hawaamini katika hilo.
Anayewaita wenzake wafia dini yeye keshaoza katika dini yake😂